Men Nightmare

Sio kweli,kwani kumsaidia kazi mkeo unageuka mwanamke au ni mfume dume ndio sababu?
 
Thats caring....acheni akili za kwamba house chores ni za mke tu. Hujui huyo mama ni mgonja/amekufa au hata kama ni mzima ndio mojawapo ya contribution ya mwanaume nyumbani baada ya kuleta ugali.
 
Nimeipenda hii kitu, safi saana.
 
Penzi lao bado moto ndio maana hajali
watu wanasema nini...nice.
 
labda kama wife awe ana ishu ya maana, lakini si eti aniage anakwenda kusuka ndio nimsidie...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…