tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 62
Iko safi...!
Lakini wakati mwingine tunateteana hadi kuzidisha, kama hiyo familia ilivyoumbuka!...hapo ni kukaa na kushauriana tu, na kuyamaliza chumbani!
that tells men are proffesional liers....they know how to cover each other's asses very well...
I wouldnt even bother to ask his friends.. honestly waste of energy and time...
Do you think huo ni urafiki au unafiki?hapa inaonesha kuwa wanaume ni waongo by nature wakati wanawake ni wa kweli.Wameeleza ukweli.
nasikia nyie wanawake huwa hampendani. Unachekelea unapoona mwanamke mwenzio yupo matatizoni.wakuu mnajifunza nini hapa.............
friendship among women:
a woman didn't come home one night.
the next morning she told her husband that she had slept over at a friend's house.
the man called his wife's 10 best friends.
none of them knew anything about it.
friendship among men:
a man didn't come home one night.
the next morning he told his wife that he had slept over at a friend's house.
the woman called her husband's 10 best friends.
eight confirmed that he had slept over, and two said he was still there!
wewe hujakutana nawataalamu wa uongo. Humkamati mtu yeyote.ila wanawake wakiamua kuchonga uongo hawakamatwi ng'oo! Wanaume uongo hamuuwezi...
HAPO HAPO MZEE MWENZANGU, unajua kule mbinguni inaelekea hakuna wanawake. Adamu,mfano wa Mungu,Malaika Gabriel ni mwanamme. Biblia inasema,............na tumfanye mtu kwa mfano wetu( alieumbwa ni adamu = wote kule ni wanaume/mfano wa Adamu.Biblia ya kimombo inasema hivi,Then god said''Let us make man in our image,according to our likeness....Genesis 1.26 sasa wale wenzangu tulioumbwa kwa mfano wa Mungu halafu mkaanza kutamani mngekuwa wanawake ndo mnaniacha hoi.NANI ASIYEUJUA USHANKU N AKU WA WANAWAKE?
UZANDIKI NA ROHO MBAYA NA GUBU NDIVYO VILIVYO WAJAA.
ASANTE MUNGU KWA HIl JINSIA ULIYONIPA.
HAKIKA MIMI NIMEUMBWA KWA MFANO WAKO.
hata mimi naona kweli wanaume ni waongo by nature isipokuwa mimi TALL tu.Sisemagi uongo mimi.Do you think huo ni urafiki au unafiki?hapa inaonesha kuwa wanaume ni waongo by nature wakati wanawake ni wa kweli.Wameeleza ukweli.
Men don't lie..they joke!
Ila wanawake wakiamua kuchonga uongo hawakamatwi ng'oo! Wanaume uongo hamuuwezi...
Wakuu Mnajifunza nini hapa.............
Friendship among Women:
A woman didn't come home one night.
The next morning she told her husband that she had slept over at a friend's house.
The man called his wife's 10 best friends.
None of them knew anything about it.
Friendship among Men:
A man didn't come home one night.
The next morning he told his wife that he had slept over at a friend's house.
The woman called her husband's 10 best friends.
Eight confirmed that he had slept over, and two said he was still there!
That's why it is so difficult for me to trust a woman, even my wife. They are good lies....!
Here a woman is not a great thinker...! She did that without even taking precautions, but a man did...! This shows that women always do not know how to deal with things....! Even looking in the future for the friendship...!