Leo nimepanda BM nimkaa na Dada mmoja makamu ya 30-35 hivi usoni yuko poa kasuka msuko mzuri kavaa hereni zimetoa chicha .
Wakati gari ikiwa inaambaa maporini akaanza kushikwa usingizi akaegemea siti ya mbele nikaona ni wasaa mzuri kusafisha macho kwa kutizama neema za allah alizopewa mdada huyu maana nilitazama mapaja yalinona hasaaa
Aisee yaarabi lahaula langata!![emoji15] mtoto ana wezere LA haja balsa
Sasa nililifaidi vizuri Wa kuchimba dawa[emoji12]
Nikamwacha atoke kwanza yeye ili nilifaidi vizuri kwa nyuma halafu nikawa nahakikisha tunaacha umbali Wa mita 1.75 ili kufaidi vizuri
Sasa tuliporudi nilitaka kuchukua Namba palepale but I had not guts and ball to do so also I wouldn't trust my instincts that time .
So nikaacha unga upepee na upepo
Tulivyofika msamvu nikawa naomba tupande daladala moja hahahaha
Wakuuu mnisamehe jamaa napenda mawezere acheni tu
[emoji2] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]