Men are so complicated, so confusing...

That's true my dia, we so confused,we don't knw what we can do to our men in this digital life,everything change to what you expect.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Huwezijua ya wanaume kama wewe sio mwanaume, yanayotukabili wanaume it's hard to explain otherwise let's celebrate God 's work of creation.
 
Ni kweli We are complicated, But that is NOT universal, sometimes we differ a lot, so inahitaji understanding na kumsoma Mwanaume wako, b'coz in above factors kuna vitu mim navitaka my Woman awe navyo(as priority) While other Man wataviona sio priority kwao,...So people are complicated
 
Watoto wa kike wa siku hizi hawajui kuwajali wapenzi wao, nguvu kubwa ni ya pesa ktk mapenzi na mbaya zaidi sijui mbadala wa jando na unyago kwa sasa n nini, hayo maneno *kaunga* hata kwa wanawake yanawahusu pia
 
Yes..you must be right..i can see and feel that on me..ooh gosh-let me change before its to late..ahsante kwa ELIMU
 
Imenifanya nifikiri mara 2, lakini ukwel ni kwamba women are the source..they fail to maintain what they have started during the initial point of relationship
 

nipo best, and l can be close if we share your LOCATION you know!
 
Return if possible (RIP)

 
Last edited by a moderator:
mi nikikuta watu wanadaiana kuamkiana hivi akili yooote inasimama.
nahisi kama mimi peke yangu ndo na-desrve kuamkiwa mjue.....!

hahahahahahha! dada bana yaani umesahau kwamba nadesrve kuamkiwa lolz!
BTW shkamoo dada C.........,
hujambo wewe na shemeji na watoto??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…