[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jf raha sanaNaona kimya inawezekana washakufa au wananii lelewa kwenye nyumba za wazee
Naona kuna watu unataka kuwatusi hapo hata waanzilishi wa huu mtandao naona huwaoi heshima yao na hilo ndiyo tatizo la kizazi cha nchi hii.Umri wako sio type yetu,,, katafute vibabu/vibibi wenzako mitaani.
2007 kwanza jamiiforums ilikuwa haipo. Nenda zako jamboforums
tyc ...umeongea cha maana sana na hiyo ndiyo ilikuwa Jambo Forum 2006 na hatimaye Jamii Forum 2008 ni kweli mada zilikuwa na mashiko sana na mengi tulijifunza na hata mabishano yalikuwa hoja kwa hoja.Hashima kwako MLAU na kwa wengine wa enzi na enzi toka miaka hiyo,
Kila nisomapo posts na comments mbali mbali za wadau enzi hizo mlikuwa mkitoa hoja zenye mashiko sana.
Bahati nzuri ya sasa hivi members wamekuwa wengi, ila bahati mbaya iliyopo kwa wingi huu wa members ni kila iletwapo thread ya maana basi asilimia kubwa ya wachangiaji ni kutema pumba na mashudu tu wachache ndio huchangia points, hakuna tena kubishana kwa hoja kama zamani.
Sie tuliojiunga mwaka 2008 turuhusiwa kuchangia au mpk ifike 2019?May be lakini hawawezi kuwa wote