loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 866
- 1,920
Tangu ijumaa Iran ilivyobahatisha kuidungua ndege ya kivita ya Marekani na rubani ku eject kimsboy na Webabu waliibuka mafichoni na kuanza kuposti propaganda mfulululizo.
Ila leo kimya baada ya Marekani kufanya yao ndani ya Iran kwa msaada wa wateule Mossad. Hadi napoandika huu uzi hawaonekani huko international Forum.
Wamewaachia ma pro Iran na kobaz wengine kina zitto junior mdogoee na Jagina waki comment kinyongeee.
Hahahahahaaaaa 😅😂🤣
TRUMP AKBAR
NETANYAHU AKBAR
adriz de mbusii