Member: CV's za 'Mademu' walioniletea nyodo nilifutia meza

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Hali?

Huu ni unyama!

Kuna uzi humu nimeusahau jina, kuna member(id nimeisahau) humu alikuwa anajitapa wazi wazi kuwa alipokuwa chuo, "washkaji" na baadhi ya "mademu" walikuwa wanamletea nyodo, kisa jamaa alikuwa low profile.

Akaongeza kuwa alikuwa anaumia sana... after graduation, akapata shavu la kazi kitengo chenye ulaji. Hivyo wenzake wakawa wanaomba "connection", akawa anawaomba cv then wakiondoka anafutia meza yake na kutupa kwenye dustbin.

My take:
Huu ni unyama, rejection isitupelekee kuwa wanyama kiasi hiki. Tusilipe ubaya kwa ubaya, tulipe wema kwa ubaya.

Akisoma uzi huu atajijua, bad enough bado anaendelea kuwatosa wenzake. Nawaombea msamaha, wasamehe... anzeni ukurasa mpya!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Nimekuja unasema?
Sasa sindo mkomae na high profile zenu 🤣
Nitoe rai Kwa vijana: ishi vizuri na watu, narudia ishi vizuri na watu. Kesho Haina mwemyewe
 
CR classmate wangu alikuwa snitch kinoma. Mwezi February akaleta barua na CV ofisini kwetu baada ya nafasi kutangazwa. Kusema kweli sipo kwenye position ya kumuajiri ila niliiba hizo documents nikaenda kuzichoma. Siyo kwamba simtakii mema ila niliogopa akipata kazi kwenye taasisi yetu ataendelea na umbea na uzandiki wake, jambo ambalo huwa nalipinga
 
Yupo sahihi
Wanasahau sana. Maisha haya na Kila kitu Kiko Kwa watu. Humu jamii forum Yuko mtu amenishika mkono. Na nazungumza lugha nzuri na watu anaoniunganisha nao. Kwa Nini ukinunua shati jipya kariakoo na jinz unajiona Bora?. Mzee kufa kibudu tu.. wapo watu hawapendez kama wewe, hawana swaga kama wewe ila hawana muda wa kuombaomba. Mtafte jamaa mmoja anaitwa profesa Mahande Yuko MDH pale akushauri
 
Heheee mbwa ukishamjua jina hakusumbui.
Mtu unamjua ni mzandiki, unaishi nae kwa pattern. Asijue yanayokuhusu, ataishiwa story za kunafkia
 
CR classmate wangu alikuwa snitch kinoma. Mwezi February akaleta barua na CV ofisini kwetu baada ya nafasi kutangazwa. Kusema kweli sipo kwenye position ya kumuajiri ila niliiba hizo documents nikaenda kuzichoma. Siyo kwamba simtakii mema ila niliogopa akipata kazi kwenye taasisi yetu ataendelea na umbea na uzandiki wake, jambo ambalo huwa nalipinga
Yah! Wapelekee moto! Narudia wapelekee moto hao! Dunia ya Kila mtu mkuu. Wajifunze kuish na watu. Huna baya
 
Nimekuja unasema?
Sasa sindo mkomae na high profile zenu
Nitoe rai Kwa vijana: ishi vizuri na watu, narudia ishi vizuri na watu. Kesho Haina mwemyewe
Hahah ni wewe mkuu nimekukumbuka sasa. Nawaombea! Wasamehe. Usiwe mnyama hivyo kaka. Please! Najua uliumia mno kwa wao kuku ditch ukiwa chuo na kuku take as funny, ila sahau yote.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Hahah ni wewe mkuu nimekukumbuka sasa. Nawaombea! Wasamehe. Usiwe mnyama hivyo kaka. Please! Najua uliumia mno kwa wao kuku ditch ukiwa chuo na kuku take as funny, ila sahau yote.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Mm mbona nishasahau kaka?.
Ndo mana Sina taarifa zao japo wao wanazipata za kwangu. Sasa niwasamehe vipi unavyotaka wewe?
 
CR classmate wangu alikuwa snitch kinoma. Mwezi February akaleta barua na CV ofisini kwetu baada ya nafasi kutangazwa. Kusema kweli sipo kwenye position ya kumuajiri ila niliiba hizo documents nikaenda kuzichoma. Siyo kwamba simtakii mema ila niliogopa akipata kazi kwenye taasisi yetu ataendelea na umbea na uzandiki wake, jambo ambalo huwa nalipinga
Daaah! Watu mmefikia huku? We' jamaa kumbe mnyama kuasi hiki aisee?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Wanasahau sana. Maisha haya na Kila kitu Kiko Kwa watu. Humu jamii forum Yuko mtu amenishika mkono. Na nazungumza lugha nzuri na watu anaoniunganisha nao. Kwa Nini ukinunua shati jipya kariakoo na jinz unajiona Bora?. Mzee kufa kibudu tu.. wapo watu hawapendez kama wewe, hawana swaga kama wewe ila hawana muda wa kuombaomba. Mtafte jamaa mmoja anaitwa profesa Mahande Yuko MDH pale akushauri
I know. Mkuu wasamehe

Back
Top Bottom