Membe na Lowassa nani kaumia zaidi?

Membe na Lowassa nani kaumia zaidi?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,252
Reaction score
16,171
Wote wamekatwa kwenye kinyang'anyilo cha kuelekea Ikulu lakini Membe na Lowassa walikuwa na matumaini makubwa sana ya kuukwaa urais kuliko watangaza nia wengine. Hivi ni vigogo nani ndani ya CCM (kamati ya maadili, kamati kuu na halmashauri) walikuwa nyuma ya Membe na Lowassa? Kundi lipi kati ya haya (membe na Lowassa) litaadhirika zaidi kama Magufuli akiwa Rais? na ni nani hasa atafaidika kimaslahi kama Magufuli akiwa rais?
 
Wote tu wanajuta kuaga majimboni. Nasikia washatuma wapambe wao majimboni mwao kuwasemea kwamba waliwanukuu ndivyo sivyo:sly::sly:
 
Hela alizochezea Lowassa angeenda kumalizia uzee wake huko Zurich au Dubai.
Membe yupo royal family bado, still anaweza kupeta serikali ijayo. Na ninavyomuona Membe hakuwa serious sana na swala la urais kwasababu alijua nguvu ya lowassa ilivyokuwa.
Lowassa ameumia sana, chenji zilizobaki ahame nchi akapumzike.
 
Wote wamekatwa kwenye kinyang'anyilo cha kuelekea Ikulu lakini Membe na Lowassa walikuwa na matumaini makubwa sana ya kuukwaa urais kuliko watangaza nia wengine. Hivi ni vigogo nani ndani ya CCM (kamati ya maadili, kamati kuu na halmashauri) walikuwa nyuma ya Membe na Lowassa? Kundi lipi kati ya haya (membe na Lowassa) litaadhirika zaidi kama Magufuli akiwa Rais? na ni nani hasa atafaidika kimaslahi kama Magufuli akiwa rais?
Subiria muda ufike utafahamu kuwa mpole
 
Si kweli mkuu hawa watu wote walikuwa serious tena maembe alikuwa na imani ya kubebwa na mkulu hata alivyoingia top 5 alijua yeye ndo angeibuka kidedea.
 
Hela alizochezea Lowassa angeenda kumalizia uzee wake huko Zurich au Dubai.
Membe yupo royal family bado, still anaweza kupeta serikali ijayo. Na ninavyomuona Membe hakuwa serious sana na swala la urais kwasababu alijua nguvu ya lowassa ilivyokuwa.
Lowassa ameumia sana, chenji zilizobaki ahame nchi akapumzike.

Hakuna chenji hapo... kabakiwa na madeni tu.
 
Wote wamekatwa kwenye kinyang'anyilo cha kuelekea Ikulu lakini Membe na Lowassa walikuwa na matumaini makubwa sana ya kuukwaa urais kuliko watangaza nia wengine. Hivi ni vigogo nani ndani ya CCM (kamati ya maadili, kamati kuu na halmashauri) walikuwa nyuma ya Membe na Lowassa? Kundi lipi kati ya haya (membe na Lowassa) litaadhirika zaidi kama Magufuli akiwa Rais? nani hasahasatafaidika kimasl

Boralowasa angepita membe ni sawa na kikwete kwani ni ukoo mmoja ulu ule wa panya,ndicho tulichokuwa tunapigania membe hakuwa na sifa hata tano bora zaidi ya mapanya wenzake kumbeba wakidhani watamvusha kwenye mafuriko,panya,panya kweli akatize kwenye mafuriko?????,pamoja na manji na vimshiko vyake nyangau mkubwa out na mipanya nyenzie
 
Wote wamekatwa kwenye kinyang'anyilo cha kuelekea Ikulu lakini Membe na Lowassa walikuwa na matumaini makubwa sana ya kuukwaa urais kuliko watangaza nia wengine. Hivi ni vigogo nani ndani ya CCM (kamati ya maadili, kamati kuu na halmashauri) walikuwa nyuma ya Membe na Lowassa? Kundi lipi kati ya haya (membe na Lowassa) litaadhirika zaidi kama Magufuli akiwa Rais? na ni nani hasa atafaidika kimaslahi kama Magufuli akiwa rais?

Aliyeumia zaidi ni SLAA kwani hadi mika 10 ndipo la Manyani litatengwa tena. Slaa atakoma kulinga
 
Si kweli mkuu hawa watu wote walikuwa serious tena maembe alikuwa na imani ya kubebwa na mkulu hata alivyoingia top 5 alijua yeye ndo angeibuka kidedea.

Huwezi kuwa serious kusema membe alikuwa zaidi ya Lowassa.
Rudi tena angalia movement za Lowassa kwenye hizi mbio za siasa.
 
Membe kaumia sana maana kamtegemea kaka yake ampe uRais...rizone ,mama salma na membe sura ziliwashuka kama wana utapiamlo ndanimya ukumbi wa mkutano mkuuu
 
Membe ameumia zaidi kwakuwa alikua anajua kuwa Mwenyekiti atampaisha yeye na kwakuwa alishaingia top 5
Lowasa alikua anapigana vita na utawala,hivyo kushindwa alitegea kuliko aliyejua mtawala ni wake
 
Familia ya Kikwete yaumbuka

FAMILIA ya Rais Jakaya Kikwete, imepata pigo baada ya Bernard Membe kupigwa mweleka katika kinyang'anyiro cha kusaka urais. Anaandika Yusuf Aboud … (endelea).
"Kwa zaidi ya miaka minane, familia ya Rais Kikwete ikiongozwa na mwanawe, Ridhiwani Kikwete na mkewe, Salma Kikwete, ilikuwa inahaha kutaka kumfanya Membe kuwa rais," anaeleza mmoja wa viongozi wa juu ndani ya CCM.
Anasema, "…waligombana na kila aliyewapinga. Kwa kweli, familia hii ya Rais ililenga maslahi binafsi yanayotokana na kutaka kulinda wizi na uhalifu walioufanya nchini."
Membe mwanasiasa aliyetokea katika ukachero, alipigwa mweleka katika Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC). Aliagushwa na John Magufuli, Balozi Amina Salum Ali na Dk. Asha-Rose Migiro.
Kabla ya mchuano huo, Membe alifanikiwa kupenya kwenye tundu ya sindano baada ya kambi ya Edward Lowassa, mwanasiasa anayeaminika kuwa nguvu ndani ya chama hicho, "kuamua kufa naye."
Taarifa zinasema, nguvu ya Lowassa ndiyo iliyosababisha Membe kushindwa.
Mkutano mkuu wa CCM unaoendelea mjini Dodoma, unatarajiwa kumtangaza John Pombe Magufuli kuwa mgombea wake wa urais.
 
Back
Top Bottom