OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Anatambua nguvu za kisiada za lowassa jinsi anavyokubarika ndani ya ccm lakini zaidi nje ya ccm kwa watanzania wote,anaamini kutumia njia chafu kwa kuwalipa vijana fedha kushinda kwenye mitandao hili kumchafua Lowassa kumpa shutuma za uongo siku ukweli unabaki pale pale Lowassa uchapkazi wake na mwenye kusimamia jambo bila uoga wa ubabaishaji.
Mnapoteza muda 2015 nchi lazima iende kwa wapinzani. Mungu ambae hapokei rushwa atatusimamia katika hili AMEN
Uwezekano katika hilo pengine ni ndoto kwa miaka ya karibuni. Kuhusu Membe ni kweli anamhofia sana Lowasa. Hata hivyo katika nyanja zote sio size ya Lowasa. Amewaweka mamluki wengi jf na kwenye vyombo vya habari kumpigia debe na kumchafua Laigwanani lakini wanaelea tu hawamwezi. Msijidanganye nyumba kubwa bado wapo upande wa Membe. Walishahamia kwa Pinda na wao ndo waliomshawishi kutangaza nia wakielewa atawalinda wao na mali zao watakapoachia madaraka. Kwa hili watahakikisha wanamweka madarakani kwa gharama yoyote.Na ndivyo itakavyokua na Watanzania kupata tena hasara ya uongozi wa juu kwani Pinda mbali ya kuwa hawezi kufanya maamuzi magumu pia hana maono. Sidhani hata mawaziri atakaowachagua watamtii. Nchi kwa sasa inamtaka kiongozi mwenye maamuzi na uthubutu kama Lowasa na sio yeyote ndani ya ccm.
Toa mfano mmoja wa Membe kumchafua Lowassa ili niamini kwamba huleti maneno ya kuokoteza barabarani!Wadau!
Kwanini mh Bernard Membe anamuhofia lowassa kiasi hiki?nimekuwa nikijiuliza bila majibu,Membe amekuwa akifanya kila awezalo kuhakikisha anamchafuwa lowasa kwa njia yoyote ile,iwe halali au haramu lakini kila anapojaribu mission yake inafeli.
Sasa nimuulize tu mh Membe kama anajiamini na nimwanaume wa shoka kwanini asisubiri muda ufike waingie uwanjani kupimana nguvu?si anategemea familia ya rais itambeba kwanini angaike?
Kupigiwa debe
na familia ya
jk si anaona ni uhakika wa kuingia ukulu.atulie asubiri muda akapimane na lowassa tuone nani mshindi.
Toa mfano mmoja wa Membe kumchafua Lowassa!Membe anamuhofia Lowassa kwa sababu Lowassa ana Mungu na pia anao watu. Na sauti ya waja wa Mungu alionao Lowassa ni sauti ya Mungu.
Membe anataman visivyowezekana kwake,watz wanataka kuona mabadiliko hawataki kusikia kuwa kutafanyika mabadiliko...kwa ufupi hana cha kutuconvince..jaman achen kuipambanisha taifa stars na Man city hayo nimatusi kwa Mh.MembeHivi kwanini huwa membe hamuulizi mjomba wake jk moto wa lowassa manake jomba anaujuwa haswa
Anatambua nguvu za kisiada za lowassa jinsi anavyokubarika ndani ya ccm lakini zaidi nje ya ccm kwa watanzania wote,anaamini kutumia njia chafu kwa kuwalipa vijana fedha kushinda kwenye mitandao hili kumchafua Lowassa kumpa shutuma za uongo siku ukweli unabaki pale pale Lowassa uchapkazi wake na mwenye kusimamia jambo bila uoga wa ubabaishaji.
Wadau!
Kwanini mh Bernard Membe anamuhofia lowassa kiasi hiki?nimekuwa nikijiuliza bila majibu,Membe amekuwa akifanya kila awezalo kuhakikisha anamchafuwa lowasa kwa njia yoyote ile,iwe halali au haramu lakini kila anapojaribu mission yake inafeli.
Sasa nimuulize tu mh Membe kama anajiamini na nimwanaume wa shoka kwanini asisubiri muda ufike waingie uwanjani kupimana nguvu?si anategemea familia ya rais itambeba kwanini angaike?
Kupigiwa debe
na familia ya
jk si anaona ni uhakika wa kuingia ukulu.atulie asubiri muda akapimane na lowassa tuone nani mshindi.
Ukooo wa Mafisadi hauachi kumpamba Lowasa
kamchafuaje Maku...wewe?? shortly, wote hawafai, raisi bado jamani mbona mnamapepe nya.u?? nzishe zako wewe mtoa mada...
Uwezekano katika hilo pengine ni ndoto kwa miaka ya karibuni. Kuhusu Membe ni kweli anamhofia sana Lowasa. Hata hivyo katika nyanja zote sio size ya Lowasa. Amewaweka mamluki wengi jf na kwenye vyombo vya habari kumpigia debe na kumchafua Laigwanani lakini wanaelea tu hawamwezi. Msijidanganye nyumba kubwa bado wapo upande wa Membe. Walishahamia kwa Pinda na wao ndo waliomshawishi kutangaza nia wakielewa atawalinda wao na mali zao watakapoachia madaraka. Kwa hili watahakikisha wanamweka madarakani kwa gharama yoyote.Na ndivyo itakavyokua na Watanzania kupata tena hasara ya uongozi wa juu kwani Pinda mbali ya kuwa hawezi kufanya maamuzi magumu pia hana maono. Sidhani hata mawaziri atakaowachagua watamtii. Nchi kwa sasa inamtaka kiongozi mwenye maamuzi na uthubutu kama Lowasa na sio yeyote ndani ya ccm.
Nasikia humu ndani kawaweka mpaka ndugu zake kwaajili ya kumpigia debe kuingia ikulu,duh kweli madaraka matamu.