Membe kasema nini mpaka saa

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2008
Posts
3,173
Reaction score
486
Wanajamvi Bernard Membe alikuwa atoe ufafanuzi juu ya meli za Iran kusajiliwa Zanzibar na kupeperusha bendera ya Jamhuri ya Tanzania. Naomba kujuzwa kasema nini mpaka sasa.
 
kwenye ukurasa wake wa twtitter amesema hivi
Bernard Membe

@BernardMembe

Minister for Foreign Affairs and International Cooperation of the United Republic of Tanzania
Dar es Salaam, Tanzania · Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation - Tanzania

Following







Tweet to Bernard Membe












Tweets



Bernard Membe ‏@BernardMembe

Tusimame pamoja kama taifa. Nchi kwanza!

Expand





Bernard Membe ‏@BernardMembe

Hili ni jambo linalogusa maslahi ya Tanzania nje na maslahi ya Tanzania ya ndani (Muungano), tujihadhari na namna tunavyolizungumzia

Expand





Bernard Membe ‏@BernardMembe

Tanzani sio adui wa nchi yoyote duniani. Tunafurahia mahusiano yetu na nchi zote duniani

Expand





Bernard Membe ‏@BernardMembe

Hatufanyi haya kutokana na barua ya congressman, tunafanya hivyo kutimiza wajibu wetu kimataifa hususan Azimio 1920 la UN Security Council

Expand





Bernard Membe ‏@BernardMembe

Tukithibitisha tuhuma hizi tutafutilia mbali usajili wa meli hizo

Expand





Bernard Membe ‏@BernardMembe

Tutakapopata matokeo ya utafiti na ikithibitika kuwepo na ukweli hatua zitachukuliwa mara moja

Expand





Bernard Membe ‏@BernardMembe

Tunafanya hivyo kwa kuwa wakala wa ZMA anayefanya kazi za kusajili amekana kusajili meli za Iran, Balozi wa Iran nchini aliitwa akakanusha

Expand





Bernard Membe ‏@BernardMembe

Tumefanya hivyo kwa kuzingatia uwezo wetu wa kiutafiti na kutaka utafiti huu kuwa huru kwa kuwashirikisha wao wenye ujuzi mkubwa

Expand





Bernard Membe ‏@BernardMembe

Tanzania imewaarifu nchi zilizolalamika marafiki kuwaomba kusaidiana nasi kufanya uchunguzi na kushirikiana kuthibitisha taarifa hii

Expand





Bernard Membe ‏@BernardMembe

Serikali ya Jamhuri ya Muungano na SMZ hazitaki kupuuza taarifa hizi. Serikali zote mbili zimeamua kufanya uchunguzi ili kuthibitisha

Expand





Bernard Membe ‏@BernardMembe

Serikali imepokea taarifa kuhusu tuhuma za meli za Iran kupeperusha bendera za Tanzania ili kukwepa vikwazo

Expand





Bernard Membe ‏@BernardMembe

Press Conference about to start http://pic.twitter.com/p4zh4pjj

View photo





1h
Bernard Membe ‏@BernardMembe

Preparing for the Press Conference in an hour to come. Stay tuned!

Expand

 
Maelezo ya Mh. Membe kwenye wall yake ya Facebook

 
membe bwana afutilie mbali kwani suala hili ni la muungano..meli zimesajiliwa znz yeye anawashwa nini?
 
I see hii kitu ni very siriaz.....Serikali ya Jamhuri ya Muungano na SMZ hazitaki kupuuza taarifa hizi. Serikali zote mbili zimeamua kufanya uchunguzi ili kuthibitisha"

The Manamenikumbushia ishu ya OIC...!!! miaka ileee
 
yaani hii ndio inaonyesha tukivunja muungano leo kuna nchi za kiarabu zitapigana kugombania kisiwa cha zanzibar..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…