MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Ni dhahiri tangu ilipoisha awamu ya kwanza ya miaka 5 ya awali ya Rais Kikwete zilijitokeza kambi kubwa mbili kuikamia nafasi hiyo kwa hali na Mali ili kuhakikisha mshindi anamrithi JK, lakini ya Mungu mengi na yeye ndiye mpangaji!
Kwa bahati mbaya sana kambi moja iliishia njiani pamoja na mbinu zake zote za ushindi, kambi nyingine bado iko hai inaendeleza kazi kwa mbinu zake zile za awali japo si kwa mlango ambao iliutegemea kuupitia!
Kambi ya Membe ilikua ni kambi kubwa sana yenye mafundi wa kila aina waliosukwa kufanikisha ushindi! Hii ndiyo iliyokua kambi hasimu ya Lowassa!
Nikiri kusema kusema kwa hakika hii ni kambi iliyokua ikiifahamu vizuri kambi hasimu yake na ndio maana utasikia mgombea wa CCM si size ya mgombea wa UKAWA kwa sasa! Pengine Mbembe ndiye angekua size ya mgombea wa UKAWA!
Kambi ya Lowassa baada ya bosi wake Kuhamia upinzani huenda amehamia na mbinu zake zote na ndio sababu ya kujiaminisha kupita ksiasi! Hii ni kwa sababu hasimu wake yuko kando na hakuna anayezifahamu mbinu zao zaidi ya huyo hasimu wa awali.
Nina Imani kabisa Kambi ya Membe ingalikua hai mpaka sasa wakati huu wa mapambano kambi ya Lowassa ingalipata majaribu mengi mno kuliko ilivyo sasa! Kukosekana kwa kambi tokea awali upande wa Magufuli ni
Tatizo kubwa sana japo ni ngumu kuamini.