isaya clement Member Joined Jul 18, 2012 Posts 9 Reaction score 0 Jul 27, 2012 #1 Baada ya kusikiliza BBC leo nimesikia kuwa meli kadhaa zimefutiwa leseni huko zech je miundo mbinu mbadala imeandaliwa vema kusaidia wakazi wa zench
Baada ya kusikiliza BBC leo nimesikia kuwa meli kadhaa zimefutiwa leseni huko zech je miundo mbinu mbadala imeandaliwa vema kusaidia wakazi wa zench
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,744 Jul 28, 2012 #2 isaya clement said: Baada ya kusikiliza BBC leo nimesikia kuwa meli kadhaa zimefutiwa leseni huko zech je miundo mbinu mbadala imeandaliwa vema kusaidia wakazi wa zench Click to expand... kwahiyo unashauri watu waendelee kuliwa na samaki?
isaya clement said: Baada ya kusikiliza BBC leo nimesikia kuwa meli kadhaa zimefutiwa leseni huko zech je miundo mbinu mbadala imeandaliwa vema kusaidia wakazi wa zench Click to expand... kwahiyo unashauri watu waendelee kuliwa na samaki?
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Jul 28, 2012 #3 zanzibar ina watu wenye maamuzi dhaifu sanaaaa...