Meli zaongezeka bandari ya Dar es Salaam

hizi ndio zile meli za shirika la afya duniani zilizoleta mabox ya condom na pampers za msaada pamoja na neti?

mtoa mada hebu toa ufafanuzi japo tunaona meli mbili tu zilizosogeleana
 
Picha za meli chache hazionyeshi idadi/takwimu ya mizigo.Tuletee idadi/takwimu ya mizigo ya miezi iliopita na mwezi huu ndio inaweza kuleta usahihi wa taarifa.Kuhusu meli kupaki kwenye gati kupakua mizigo ni jambo la kawaida bandarini
 
Sikuzote Mungu hashindani na Shetani

Mungu yupo na Watanzania Daima
Na kwa vyovyote vile
Tanzania itasonga
Mashetani wajinyonge
 
hizi ndio zile meli za shirika la afya duniani zilizoleta mabox ya condom na pampers za msaada pamoja na neti?

mtoa mada hebu toa ufafanuzi japo tunaona meli mbili tu zilizosogeleana
Wewe ni yule alitupa talanta yake!
 
Kumbe mlijua kwamba zilipungua.!! sasa mbona mlikua mkibisha.? yan mpk meli mbili tu mnasema zimeongezeka.!! kweli hali ilikua mbaya
 
Hivi Nyampua analetaga kweli meli huku au anapitishia mizigo Holili kutokea Mombasa?
 
heeeee mbona katika post kama hz nyumbu hawaji kucomment??au wanacomment ktk mabaya tuu??
Kwa kawaida nyumbu hupumzika pale nguruwepori wanapokuwa active. Hebu kapumzike usipoona wameibuka.

Hivi kwanini nyie vinguruwepori mnawachukia sana nyumbu? waliwaibia mabwana zenu au??
 
Zilipungua lini?, au ni zile zisizo Lipa kodi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…