Meli ya Iran yadakwa na Marekani

Mbona uzi hauna uhusiano na Urusi?
Watu wanaongelea Iran ww unaitaja Urusi.
Pana tatizo ikitajwa Urusi? Mbona kwa mada za vita ya Ukraine na Urusi lakini kutwa nzima mnatujazia comments za US?
 
Last week Iran walitangaza wao hawaangalii vita vinavyoendelea ila watakubaliana na nchi za ulaya na marekani ili auze mafuta yake na gesi ,mda si mrefu Iran ataanza kuuza mafuta ulaya na watu kuachana na gesi na mafuta ya Urusi. Mwisho siku anayeumia ni aliyewekewa vikwazo ,kazuia mafuta na gesi ila wenzake wanapata mbadala halafu vikwazo vinaendelea
 
Ayatolah anasema kuiamini Marekani ni kufanya makosa makubwa! Sisemi hawatafanya biashara lah! Ila huyohuyo USA na washirika wake wanaoenda leo kutaka kununua mafuta Iran miaka 2 nyuma walifanya njia zote kutaka kuipindua serikali ya Iran, walitumia njia zote kuififisha Iran cos wanamuona ni tishia kwa Israel.
 
Ayatolah anasema kuiamini Marekani ni kufanya makosa makubwa! Sisemi hawatafanya biashara lah! Ila huyohuyo USA na washirika wake wanaoenda leo kutaka kununua mafuta Iran miaka 2 nyuma walifanya njia zote kutaka kuipindua serikali ya Iran, walitumia njia zote kuififisha Iran cos wanamuona ni tishia kwa Israel.View attachment 2241789
 
hapo west watakuwa wamepiga goti kwa iran na kuisaliti israel ambayo huwa inapinga iran kuondolewa vikwazo
 
Biashara itafanyika maana walisema wanataka diplomasia ya kufanya biashara ya gesi na mafuta na nchi za ulaya . Lakini ujue hizi siasa hazitabiriki na mimi nashangaa Iran kubadilisha mawazo gafla
 
USA wameiba sana mafuta Iraq bado wanachukuwa kibabe mafuta ya Iran, hii dunia kuna kitu kitatokea very soon.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20220528-083950.png
    11.7 KB · Views: 30
  • Screenshot_20220528-083853.png
    10.9 KB · Views: 26
Pana tatizo ikitajwa Urusi? Mbona kwa mada za vita ya Ukraine na Urusi lakini kutwa nzima mnatujazia comments za US?
Marekani inatajwa kwenye mgogoro wa Ukraine kwasababu anashiriki kwenye huo mgogoro kwa kutuma silaha na mafunzo kwa Ukrain.

Lakini hii habari kuihusisha na Urusi ni makosa kwa sababu Urusi haijawahi kuingilia ugomvi wa Marekani na Iran kama alivyo fanya Marekani nchini Ukraine.
 
Biashara itafanyika maana walisema wanataka diplomasia ya kufanya biashara ya gesi na mafuta na nchi za ulaya . Lakini ujue hizi siasa hazitabiriki na mimi nashangaa Iran kubadilisha mawazo gafla
IRAN hajabadili mawazo
Toka awali anahio nia ila vikwazo ndio vinakwamisha
Ila sidhanii kama itakubalika hilo suala acha tuone!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…