gublod JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 367 Reaction score 166 Jan 22, 2014 #1 Kumbe Meli inavyoanza kuzama, huwa kama masihala...!!!! Attachments Meli Inavyozama!.jpg 8.2 KB · Views: 1,035
Mipangomingi JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 2,713 Reaction score 2,063 Jan 22, 2014 #2 Tokea maprofesa walivyokimbia kufundisha na kujiunga na siasa, hawa wanafunzi wamepata malecturer wao wa voda fasta, hawana haja ya kusoma. Wanagawa uroda tu na kushinda humu JF kupost ----- mwisho wa semester anapata gpa ya 4.4!
Tokea maprofesa walivyokimbia kufundisha na kujiunga na siasa, hawa wanafunzi wamepata malecturer wao wa voda fasta, hawana haja ya kusoma. Wanagawa uroda tu na kushinda humu JF kupost ----- mwisho wa semester anapata gpa ya 4.4!
S Synthesizer Platinum Member Joined Feb 15, 2010 Posts 15,465 Reaction score 29,654 Jan 22, 2014 #3 Hiyo ni meli? Wewe lazima unatokea Iringa, Moshi, Singida au Tabora.
K kipimo JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 828 Reaction score 118 Jan 22, 2014 #4 na hii nayo meli? mfano wako hauendani kihivyo na wa meli ndg....
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Jan 22, 2014 #5 Gublod unakijua kidau na meli unaijua?????
R Rua Senior Member Joined Dec 30, 2013 Posts 123 Reaction score 25 Jan 22, 2014 #6 Duh! Nahisi kaharufu ka'mulugo hapa.
Baba Kapompo JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 1,344 Reaction score 468 Jan 22, 2014 #7 sema mtumbwi wewe ...meli mtu mmoja au ni mv-mtumbwi?