Kudadeki, hilo meli lilikuwa fiti sana tu, sasa tatizo ni mzigo maana tatizo ni centre of gravity ilihamia nje wakati inatakiwa kuwa katikati ya meli, hakukuwa na jinsi ya kuokoa mizigo maana wangeanza kushusha tu ineweza kuzama haraka na kuleta athari kwa waokoaji