Meli 3 za kijeshi za kichina zatia nanga bandari ya Dar

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Meli 3 za jeshi la wanamaji kutoka China zimetia nanga bandari ya Dar leno ikiwa ni kubadilishiana uzoefu na jeshi la Tanzania katika kukabiliana na uharamia
Ziara hiyo ni moja ya mikakati ya kuboresha urafiki kati ya Tanzania na China, meli hizo zitakuwa nchini kwa muda wa siku nne
 
Hizo sio za kwanza kufika na wala hazitakuwa za mwisho hapo wamekuja kuchukua chao pembe za ndovu na wanyama pori wanahusika. mbona vyombo vya habari vya uchina havijatangaza mabadilishano ya mbinu za kivita kati ya Tz na uchina hicho ni kiini macho tena hawa jamaa wanavyosifika kwa biashara haramu ya kuuza watu(human trafficking) usikute kuna wabongo wanapigwa bei hapo ndo maana wahadzabe wanapungua kila kukicha
 
Mkuu nimecheka vibaya sana!!!!
 
Hizo pembe kule Asia ni ishara ya bahati pia kuwa nazo..hasa kuzivaa kama Pete. Hiyo ni kwa imani yao....Ila hawa so ndio wakuu jamani...kwani hamjui? Wametapakaa na wana uhuru kama wako kwa baba mkubwa XiJiping
 
Taarifa iliyoifikia studio yetu ni kwamba tembo wameandaa mgomo kupinga hizi meli kitia nanga!
 
Hizo sio za kwanza kufika na wala hazitakuwa za mwisho hapo wamekuja kuchukua chao pembe za ndovu na wanyama pori wanahusika. mbona vyombo vya habari vya uchina havijatangaza mabadilishano ya mbinu za kivita kati ya Tz na uchina hicho ni kiini macho tena hawa jamaa wanavyosifika kwa biashara haramu ya kuuza watu(human trafficking) usikute kuna wabongo wanapigwa bei hapo ndo maana wahadzabe wanapungua kila kukicha

Wahadzabe wanapelekwa wapi kwan nao ni Mali asili?
 
Hizo sio za kwanza kufika na wala hazitakuwa za mwisho hapo wamekuja kuchukua chao pembe za ndovu na wanyama pori wanahusika. mbona vyombo vya habari vya uchina havijatangaza mabadilishano ya mbinu za kivita kati ya Tz na uchina hicho ni kiini macho tena hawa jamaa wanavyosifika kwa biashara haramu ya kuuza watu(human trafficking) usikute kuna wabongo wanapigwa bei hapo ndo maana wahadzabe wanapungua kila kukicha
Wahadzabe wameshafutika.
Hii specie ya kichina hapana taka kabisa.
Huu ni uchafu, kisafuru hatari sana
 
bila silaha za kisasa hauwezi kuwa salama katika ulimwengu wa kisasa,ngoja tufanye biashara tuendelee kuwa imara.
 
Back
Top Bottom