Mtanza Mwenye Nia
Member
- Sep 10, 2013
- 76
- 21
Uliombaje kazi kama hujui wanajishughulisha na nn?
Anyway ni shirika la watoa huduma za afya lisilo na mipaka kwenye majanga na wakimbizi kwenye kambi zao..
Alafu usiwe kilaza namna hiyo ndugu hebu Google web yao usome kwa maelezo zaidi
Duh! Kaka Syria tena? Kwani hapa tanzania wana ofisi wapi au wanahudumia wapi?Hao ni madaktari wasio na mipaka, kazi zao nyingi wanashirikiana na mashirika ya umoja wa mataifa na Red Cross.
Mkuu wakikupa kazi jiandae kufanya kazi popote duniani tena kwa kuanzia wanaweza wakakupangia Syria
Duh! Kaka Syria tena? Kwani hapa tanzania wana ofisi wapi au wanahudumia wapi?
Pia wana ofsi zao temeke.solo la maguruwe karibu na magorofa ya nhc tandkaKwa tz sanasana wapo kwenye makambi ya wakimbizi
Habari Wana JF,
Mwenye kulifahamu vizur hili shirika msaada tafadhali.