Kama ni suala la ku-contain inflammation mbona Mseto wa Tumeric na black pepper have a powerful anti-inflammatory effects - hii inatokana na tumeric kuwa na active compound (CURCUMIN) while black pepper's active ingredient ni piperin inayo saidia curcumin kuingia kwenye blood stream faster na kumaliza inflammation faster - mbona hilo hawalizungumzii?
Acha kuonyesha UJUHA wako hadharani. Uwe unasoma kwa kituo ili urckuelewa kilichoandikwa. Huu ni utafiti uliofanyika katika nchi mbali mbali na kushirikisha wagonjwa wa Covid-19 4,500 na utafiti ulihitimisha kwamba Idaho ya waliostahili kulazwa kupungua kwa 25% idadi ya waliostahili kutumia ventilation kupungua kwa 50% na idadi ya vifo kupungua kwa 44%.
Huo utafiti wa mseto wa tumeric na black pepper ulifanyika lini na wapi na ulishirikisha wagonjwa wangapi wa Covid-19?
Tell you what, kama unashindwa ku-disagree na binadamu wenzako in a civilized manner you better keep your trump shut, else you should have your head examined - unawezaje kuwasema binadamu wenzako kwamba ni majuha, kisa? Wana maoni tofauti na wewe au wanaongezea ulicho kisema, watu walio soma saikilojia ni rahisi sana kungamua kinacho kusumbua, namely: hujiamini ndio maana unawajibu jibu watu in a very abrasive language, you think you gonna build yourself up by tearing others down (sadism at its ZENITH).
Please revisit your skewed comments/remarks unavyo wajibu jibu JF members - what does it tell you about your PERSONA, nimelazimika kuyasema haya baada ya ku-track down majibu jibu yako kwenye mada tofauti tofauti ndio nikagunduwa kinacho kusumbua - kama inakuwia vigumu kuheshimu binadanu wenzako, basi hapa hapakufai.
Now fast forward to the main point: Kilicho zungumzwa kilihusu majaribio ya anti-inflammatory drugs/madawa ambayo yamesaidia wagonjwa wa Corona wasiendelee kulazwa hospitalini kwa muda mrefu na wengine wanapona kabisa - according to chapisho uliyo tuletea hapa - right? Kwani mimi nilisema nini ambacho wewe aliona hakina mantiki ukakitumia kama leeway ya kuanza kunitukana!! Kuwasaidia wasomaji wa majibu yangu, nilisema hivi: Kama ni suala ku-contain inflammation kwa wagonjwa, mbona curcumin inayo patikana kwenye Tumeric rhizome ikichanganywa na piperin inayo tokana na black pepper -mchanganyiko huo maalumu have a very poweful anti-inflammation effect - ndicho nilicho kisema mimi, sijui wewe fani yako ni hipi lakini mimi kama mwana sayansi lazima niwe curious kidogo, hicho ni kitu cha kawaida - kwani kuna ubaya gani au mpaka tafiti au maoni yafanywe na wazungu hiyo ndio mnaona ni balabala - remnant colonial mentality bado zinawasumbuwa wengi.
Huyu BAK huwa anajifanya anajua sana wakati ni Mweupe kichwani. Bukyanagandi achana nayeWeka utafiti wa huo mseto acha kuruka ruka. Soma kwa kituo uelewe kama hujaelewa uliza badala ya kutaka kuplay down umuhimu wa huu utafiti.
Kwenye upande wa bidhaa asilia, huo mseto wa bizari na pilipili-manga ulivyouelezea unaonekana ni wa tija. Asante kwa kushea.Kama ni suala la ku-contain inflammation mbona Mseto wa Tumeric na black pepper have a powerful anti-inflammatory effects - hii inatokana na tumeric kuwa na active compound (CURCUMIN) while black pepper's active ingredient ni piperin inayo saidia curcumin kuingia kwenye blood stream faster na kumaliza inflammation faster - mbona hilo hawalizungumzii?
Researchers tout 'major scientifc discovery' in $14M study for COVID-19 treatment
Close to 4,500 people participated in the study, lead researcher calls findings 'substantial' and 'robust'
CBC News · Posted: Jan 23, 2021 4:07 PM ET | Last Updated: 9 hours ago
The $14-million study was funded by the Quebec government and several organizations. (Ivanoh Demers/Radio-Canada)
Nearly a year after launching a clinical study into a potential COVID-19 treatment, researchers with the Montreal Heart Institute suggest a widely available anti-inflammatory drug is effective in helping people stay away from hospitals and survive the disease.
Nearly 4,500 people took part in a study that's led to what the researchers are calling "a major scientific discovery."
During the study, researchers found that colchicine reduced the chance of death or hospitalization by 21 per cent when compared to a placebo. That number went up when specifically looking at the pool of about 4,200 participants whose COVID-19 diagnoses were confirmed by a polymerase chain reaction (PCR) test.
Within that group, researchers say colchicine reduced hospitalizations by 25 per cent and deaths by 44 per cent. They also found the drug helped cut the need for mechanical ventilation by 50 per cent.
"These results are substantial, they are robust, and we believe are compelling to justify the use of the colchicine," said Dr. Jean-Claude Tardif, director of the Montreal Heart Institute's research centre.
"I believe this will have a fairly swift impact on how we practice medicine for patients that have COVID and are not yet hospitalized."
Researchers with the Montreal Heart Institute say their findings suggest colchicine reduces the chances of death and hospitalizations for someone with COVID-19. (Ryan Remiorz/The Canadian Press). The study, called COLCORONA, was launched last March and cost $14 million.
It includes hundreds of subjects whose COVID-19 diagnoses were not confirmed by PCR tests because those tests were not as widespread at the time, Tardif said.
Tardif also said the initial goal was to recruit 6,000 participants, but researchers settled on a lower number due to the urgency of the situation.
"The beauty of colchicine is it's already available in pharmacies. So, if a physician reads this today, and has a patient that is at risk of complications, that physician can very well prescribe colchicine today," Tardif said. "This is the reason we felt compelled to alert the population and the medical community immediately about these findings."
Researchers are preparing to publish their findings in a scientific journal.
The study was funded by the Quebec government and several other organizations, and was carried out without contact, with participants from Canada, the United States, South America and South Africa remaining at home.
CBC's Journalistic Standards and Practices|About CBC News
Be blessed mkuu, kumbe na wewe uliona hilo, sasa angalia Big Pharma Companies za USA na UK zinavyo piga vita dawa hiyo ambayo ilibatizwa jina la WONDER DRUG na wanasayansi wakimpongeza sana mwana sayansi wa Kijapan aliye vumbua dawa hiyo kwenye miaka ya sabini.ivermectin imetajwa pia kuwa ya manufaa makubwa.