hahaha taifa stars ktinga sem finalNenda kasome hiyo ni nzuri na ni rahisi kujiajiri tofauti na Clinical medicine kujiajiri lazima udhaminiwe na daktari(MD) ambapo ni ngumu kumpata bila malipo makubwa sana.Pia kozi ya clinical medicine imewekewa urasimu mwingi kiasi kwamba kupata gpa ya 3.5 ili upate sifa ya kujiunga MD ni sawa na taifa stars kuingia nusu fainali ya world cup.
duh ivi medical lab technology ina maslah fresh au?
Asante, kujiendeleza kwa advanced au degree ya Medical Laboratory ?
Teh teh teh umetshaaNenda kasome hiyo ni nzuri na ni rahisi kujiajiri tofauti na Clinical medicine kujiajiri lazima udhaminiwe na daktari(MD) ambapo ni ngumu kumpata bila malipo makubwa sana.Pia kozi ya clinical medicine imewekewa urasimu mwingi kiasi kwamba kupata gpa ya 3.5 ili upate sifa ya kujiunga MD ni sawa na taifa stars kuingia nusu fainali ya world cup.
Swali nzur medical lab IPO poa zaidi mzeeWakuu, Niombe ushauri wenu kuhusiana na kozi ipi yafaa Kati ya Medical Laboratory na Clinical Medicine ngazi ya diploma. Niliomba NACTE wamenipeleka Medical Laboratory ilihali mi nilipenda Clinical Medicine. Niende kozi hiyo niliyopangwa au niombe kubadilishiwa? Asante.
Wakuu, Niombe ushauri wenu kuhusiana na kozi ipi yafaa Kati ya Medical Laboratory na Clinical Medicine ngazi ya diploma. Niliomba NACTE wamenipeleka Medical Laboratory ilihali mi nilipenda Clinical Medicine. Niende kozi hiyo niliyopangwa au niombe kubadilishiwa? Asante.
ni PM mkuuu nakijuaAnayekijua Chuo cha paradigms college of health science