Sure🤣Hebu aje anipe huo mshahara wote nimuunganishe na hii kazi😋
Au unasemaje boss wangu?
Lete bro....😂nasimamia ahadi yangu ...ila iwe darHebu aje anipe huo mshahara wote nimuunganishe na hii kazi😋
Au unasemaje boss wangu?
Huyu ni mrembo wewe , ikiwa moro je?Lete bro....😂nasimamia ahadi yangu ...ila iwe dar
Moro itategemea na mshahara mkuu ila Pia sio mbaya km ipo njoo dm tuyajengeHuyu ni mrembo wewe , ikiwa moro je?
Ofisi ya mtu binafsi unaweza kufanya kazi ?Moro itategemea na mshahara mkuu ila Pia sio mbaya km ipo njoo dm tuyajenge
Unataka town tu.. hapana we utanitapeli shaona🥹Lete bro....😂nasimamia ahadi yangu ...ila iwe dar
Muache tu aniite atakavyo😅Huyu ni mrembo wewe , ikiwa moro je?
Hawezi tapeli🤣Unataka town tu.. hapana we utanitapeli shaona🥹
Tatizo lako I'd haipo romanticMuache tu aniite atakavyo😅
Basi apate kazii😂Hawezi tapeli🤣
Usicheke hali ishakua ngumu ukiona mpaka mtu anavua nguo anaanza kutembea uchi usifikiri ni chizi au kichaa usicheke chizi/kichaa anachekesha akiwa hatokei kwenu..Duuuh hii mbombo ngafu. 😂😂😂😂
Romantic tena jmn humu ni kazi kazi😂Tatizo lako I'd haipo romantic
Nimeku pmOfisi ya mtu binafsi unaweza kufanya kazi ?