Mr.Bakari hanje Member Joined May 16, 2013 Posts 24 Reaction score 0 Jun 26, 2014 #1 Hivii dawa ya kuongeza nguvu za kiume inaitwaje?? Na pharmacy inapatikana?
Mr.Bakari hanje Member Joined May 16, 2013 Posts 24 Reaction score 0 Jun 26, 2014 Thread starter #2 Kuna mtu kanambia Inaitwa Q-PID je ni kwel
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,795 Reaction score 6,442 Jun 26, 2014 #3 Dawa hizo ni Sidenafil Citrate ila zinakuwa branded kama Viagra,Kamagra etc na pharmacy zipo ndio.Ila hii njia ina matokeo mabaya mbeleni
Dawa hizo ni Sidenafil Citrate ila zinakuwa branded kama Viagra,Kamagra etc na pharmacy zipo ndio.Ila hii njia ina matokeo mabaya mbeleni
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,312 Jun 26, 2014 #4 don't try it!!!
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,364 Reaction score 27,755 Jun 26, 2014 #5 usitumie hizo mkuu, utakuwa teja wa hizo dawa milele na madhara yake ni makubwa kuliko unavyowaza. Boresha lishe, punguza mawazo, fanya mazoezi achana na hizi dawa ni sumu!
usitumie hizo mkuu, utakuwa teja wa hizo dawa milele na madhara yake ni makubwa kuliko unavyowaza. Boresha lishe, punguza mawazo, fanya mazoezi achana na hizi dawa ni sumu!
lyinga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 2,494 Reaction score 1,057 Jun 26, 2014 #6 Ze Heby said: Dawa hizo ni Sidenafil Citrate ila zinakuwa branded kama Viagra,Kamagra etc na pharmacy zipo ndio.Ila hii njia ina matokeo mabaya mbeleni Click to expand... Unaweza kupata shinikizo la damu sio nzuri kiujumla kama bado ni kijana tumia mchanganyiko wa asali, mdalasini na saga mbegu za kokumanga unywe kila siku.
Ze Heby said: Dawa hizo ni Sidenafil Citrate ila zinakuwa branded kama Viagra,Kamagra etc na pharmacy zipo ndio.Ila hii njia ina matokeo mabaya mbeleni Click to expand... Unaweza kupata shinikizo la damu sio nzuri kiujumla kama bado ni kijana tumia mchanganyiko wa asali, mdalasini na saga mbegu za kokumanga unywe kila siku.