johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,548
- 142,828
Halima atakuwepo? Je Bulaya?Media mbalimbali za kimataifa zipo mjini Moshi kuripoti Kongamano la BAWACHA ambalo mgeni rasmi atakuwa mh Rais Samia...
Ila Magu,hakuwaga na AIBU,unawezaje kufyeka Wabunge zaidi ya 20 wakuchaguliwa hadi mmoja(1)?Hapo umezidisha chumvi Jo,mbona Husemi chama kilichowahi kuwa na wabunge kadiri ya mia katika bunge,na chama tawala kutarajiwa
Nikimuona Samia akiwamwagia sifa za kijinga kina lema nitaanza kutafakari kuhusu uanachama wangu kwenye nambari wani eeeeh😪Media mbalimbali za kimataifa zipo mjini Moshi kuripoti Kongamano la BAWACHA ambalo mgeni rasmi atakuwa mh Rais Samia....
Wabunge wa Lowassa akina Dr Mollel na Cecil MwambeHapo umezidisha chumvi Jo,mbona Husemi chama kilichowahi kuwa na wabunge kadiri ya mia katika bunge,na chama tawala kutarajiwa🤔
Anakujua nani wewe msukule wa Sukuma Gang?Nikimuona samia akiwamwagia sifa za kijinga kina lema nitaanza kutafakari kuhusu uanachama wangu kwenye nambari wani eeeeh
Let him perish in eternal flameR.I.P JPM MWAMBA
Kuna tetesi wanaenda kuvamia kongamano ili waingie kwa madai kwamba madhali ni wabunge halali basi ni wanachama halali, hivyo hakuna Polisi atayewazuia maana mgeni rasmi (ambaye ndiye afande no.1 wa Polisi hao) anatambuwa uhalali wa ubunge na uanachama wao, mahakama inawatambuwa, bunge linawatambua, msajili wa vyama vya siasa anawatambua.Halima atakuwepo? Je Bulaya?
Kuna namna inayoandaliwa kisengere nyuma lakini wajue wanachama sio mbumbumbu wa kushindwa kufanya marejeoKuna tetesi wanaenda kuvamia kongamano ili waingie kwa madai kwamba madhali ni wabunge halali basi ni wanachama halali, hivyo hakuna Polisi atayewazuia maana mgeni rasmi ...
umesahau pia kua chama hicho cha DEMOKRASIA kina mwenyekiti mmoja kwa miaka 20 sasa na wanachama wake hawana 'ndoto' za kushika nafasi ya wenyekitiMedia mbalimbali za kimataifa zipo mjini Moshi kuripoti Kongamano la BAWACHA ambalo mgeni rasmi atakuwa mh Rais Samia
Miongoni mwa media Hizo ni RT, DW, BBC, Sky news, Citizen tv nk
Kongamano hili linavutia kwa sababu Chadema ni chama pekee Kikuu cha Upinzani Duniani ambacho Uwakilishi wake Bungeni ni wa Wanawake watupu
Lakini ni chama ambacho nafasi zote za juu za uongozi ndani ya chama zimekaliwa na Wanaume
Karibuni Moshi mjini
TBC
Nalo neno!Kina mdee watakuwepo ni moja ya maridhiano anayoyapigia upatu mbowe et al
unatawala chama miaka 20 mtu mmoja !!! mtu Kama huyu akipewa nchi atabaki madarakani for life kibabe!!