Mechi ya Yanga na Al Ahly itaonyeshwa channel gani?

Status
Not open for further replies.

Jaffary

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
807
385
Kama heading inavyojieleza, nikiri mimi ni Simba damu lakini ningependa kuwaona hawa wakimataifa kesho.

Anayejua anijuze tafadhali
 
Kama heading inavyojieleza, nikiri mimi ni Simba damu lakini ningependa kuwaona hawa wakimataifa kesho.

Anayejua anijuze tafadhali
Hii timu ya waganga Kwahiyo mambo yao gizani usipoteze muda kusubiri treni airport
 
Hii mechi simba wanahamu nayo kuliko wenye mechi yao yanga wamepumzika wanajua wataicheza vip tatizo simba anaogopa yanga akishinda inabidi wakajifiche mbuga ya malawi
 
Niwapongeze Yanga kwa kupiga hatua, hatimaye kuruhusu mechi yao irushwe. Taratibu tutafika
 
Dah! ilinichukua muda kuamini lile tangazo la Charles Hilary juu ya kuirusha hii mechi live kupitia Azam two. Ahueni wazee wa kimataifa mmesikiliza kilio cha wadau wengi wa mpira.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom