Wangelicheza CHADEMA NA CCM
kwanini wasitoshe? sugu,mnyika,wenje,heche,mdee,silinde, mbowe,msigwa,zitto,shibuda,nasary..etc sio timu hiyo?Chadema hawatoshi labda wakiongeza viti maalum
Huu ndo tunauita upompompo hivi bongo timu ni Simba na Yanga tu? Hivi mnajua kinachoua soka la bongo ni usimba na uyanga? Aaa argh! Wanauzi bora wangejigawa kwa mfumo mwingine ila sio wa usimba na uyanga Sasa sisi mashabiki wa AFC, toto, nyota nyekundu, mecco, reli, mbanga FC tushabikie wapi?
Wangelicheza CHADEMA NA CCM
Kama refa ni atakuwa wa ccm nadhani kabla ya dk90 kuisha watakuwa wamebaki wachezaji watatu wengine wote ni red card
nilijua wauwaji wa soka la bongo Simba na Yanga mtakuja juu! Hivi AFC ni tawi la Simba au Yanga? Wachezaji wa kibongo kipimo CHA mafanikio kisoka ni hizo timu ambazo mfumo, na serikali inazibeba lakini mafanikio yake ni madogo ila ni MAKUBWA ukilinganisha na vilabu vingine kwa Mara nyingine tena muhimili mwingine wa dola unazitangaza Simba na Yanga.... Huyo Nchemba anashabikia wakati Singida hamna timu ni muongo Sasa hivyo hivyo Zitto Kigoma hamna kitu anakalia usimba na uyangaAcha upoyoyo timu ulizo zitaja ni matawi ya Simba na Yanga na wachezaji wengi wa timu hizo utakuta ni wanazi wa ama Simba au Yanga na yanga na Simba hawajaua soka nchii.. kinachouwa soka ni mfumo mzima wa soka la tanzania kuanzia TFF...