Endelea kujifariji makolo fcMashabiki na wapenzi wa Simba sports club
Mechi ya Derby ya tarehe 8, sisi tunaingia kama underdog, tunaona kila mahali utopolo wanajitapa, Wana matokeo mfukoni tayari, tunasikia wengine wako mitaani wanazurura na kufuturisha, wanaiona Simba kama timu ya daraja la 2
Kuna kafara lao la kila kuelekea derby hua wanalifanya, limeshafanyika la kutembelea watoto mayatima na walioa na matatizo maalumu, (maelekezo ya mganga wa pangani)
Sisi simba sports club tunamuamini Mungu, tunamuamini Allah subbnallah tarehe 8 ifike tutajua Mungu na waganga wa pangani nani ana nguvu.
Vitabu vya dini havijaongelea mpira.Mashabiki na wapenzi wa Simba sports club
Mechi ya Derby ya tarehe 8, sisi tunaingia kama underdog, tunaona kila mahali utopolo wanajitapa, Wana matokeo mfukoni tayari, tunasikia wengine wako mitaani wanazurura na kufuturisha, wanaiona Simba kama timu ya daraja la 2
Kuna kafara lao la kila kuelekea derby hua wanalifanya, limeshafanyika la kutembelea watoto mayatima na walioa na matatizo maalumu, (maelekezo ya mganga wa pangani)
Sisi simba sports club tunamuamini Mungu, tunamuamini Allah subbnallah tarehe 8 ifike tutajua Mungu na waganga wa pangani nani ana nguvu.
Huyu jamaa ni mtu mzima lakini akili changa! Mawazo aliyokuwa nayo enzi zile mchanga JF bado anayo mpaka leo!Allah ameshindwa kuwasaidia Wapalestina ndio sembuse mikia?
Hii ni ile PHD ya jalalanHuyu jamaa ni mtu mzima lakini akili changa! Mawazo aliyokuwa nayo enzi zile mchanga JF bado anayo mpaka leo!
Hii PhD ni halali kweli?
Achana na Allah kutoweza kuwasaidia wapalestina, Je yule aliyebutuliwa na Warumi kwenye mti mpaka anaomba huruma ndiyo mwenye nguvu?
Waisrael waluchinjwa na Wanazu wa Hitler, Mungu wa Israel alikuwa mnyonge kwa Mungu wa Hitler?
WaMakuwa man mambo simba anakufa 3-0Kesho J5 nitafungua Uzi wa kubashiri matokeo na mfungaji wa goli la kwanza na matokeo.
Atakayeibuka mshindi ataibuka na kiasi cha shilingi laki moja.
Kwa hiyo Mungu amefungwa na wachawi mara 4 mfululizo? Hamuoni huyo Mungu ndio tatizo?Mashabiki na wapenzi wa Simba sports club