Ngoja tusubiri tuone, ila mimi naamini kabisa matokeo ya jana yametupa confidence ya hali ya juu sioni mwingine wa kutusimamisha labda majeruhi tu ya kutisha ya key players otherwise njia nyeupeeeeee lol!!!! Hahahahahaha we tengeneza single ila utafakari utamuuzia nani? Wateja wa single zako msimu huu hawako jaribu msimu ujao lol!! ๐๐