Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
I have always being admiring striker of his kind, young/full equipped, talented, skillful and energetic player no one will afford to miss on his side! I am wondering how Mancini played with this gold boy...he will always regret....
Alicheza mechi 20 kwa Ndetichia na akafunga Goli 1...
Kaja kwa Gang Chomba kacheza mechi 7 then amefunga magoli 8.
Hapo utagundua kuwa ukitaka mafanikio ya Soka basi nenda AC Milan...
hata hivyo balo45 bila ya city kumkomalia asingefika hapo balo45 anajua basi tu maepe ya huyu kocha ndio yameharibu ladha ya city..
hata hivyo balo45 bila ya city kumkomalia asingefika hapo balo45 anajua basi tu maepe ya huyu kocha ndio yameharibu ladha ya city..
dah,akija hapa hilo balaa lake....Mcheki jukwaa la mapishi...
tatizo hakawihi kuboronga
Wakati unaandika hiyo post yako yeye kule alikuwa anaisawazishia timu yake ya taifa katika mechi ilioisha kwa suluhu ya goli 2-2 dhidi ya Brazil.
Balomania funga midomo mahasidi...mwaka wako huu
Wakati unaandika hiyo post yako yeye kule alikuwa anaisawazishia timu yake ya taifa katika mechi ilioisha kwa suluhu ya goli 2-2 dhidi ya Brazil.
Balomania funga midomo mahasidi...mwaka wako huu
bora alipwe kidogo kuliko kucheza na wasiojua(EPL) wametufanya hata ubongo wetu ubaki kusifia uozo tu fanya kweli tuwakilishe blackman africanBaloteri anajua unyanya ndo unamzingua kijana.
Nilishawi msikia mbabe ida kadabla akisema yeye ni chizi ila baloteri kamzidi uzuri anajua kushinda magori.
Alicheza mechi 20 kwa Ndetichia na akafunga Goli 1...
Kaja kwa Gang Chomba kacheza mechi 7 then amefunga magoli 8.
Hapo utagundua kuwa ukitaka mafanikio ya Soka basi nenda AC Milan...
"The striker tormented the Palermo defence all afternoon with his...trickery.
Won a penalty and then dispatched it himself after just eight minutes to put his side on
their way to victory. He grabbed an opportunistic second .."