Yah ni kweli shirika la reli limetoa ajira za muda (mkataba). Ila kuna vitu sijaelewa hapo katika uandishi wako. Hebu rekebisha nikuelewe kwanza umesema "mechanical technician operate designe mamb ya viwanran" ni kitu gani umemaanisha?