Wakati nataka kusoma miaka ya mwisho ya 80 nilikuwa nafikiria kusoma mechanical ni kwenda kuwa fundi mechanic...mechanical engineering is so wide...ila inataka kukomaa kweli kweli mana mambo yake ni yale yasoyo na mvuto...power plants, thermodynamics, fluid mechanics, vibrations, mechanical design/machine elements. Kama hujajituma inaleta sana usumbufu. Mambo ya digitally ni machache sana.