Mjuzi Wenu
Senior Member
- Nov 18, 2017
- 108
- 108
kuna kazi Utumishi jitahidi usome na uombe kupitia www.ajira.go.tz
Hauna account ajira portal?shukrani kiongozi nachangamkia hiyo fursa
kozi ngumu halafu ukimaliza, ukija kitaa ajira hamna.dadeki....Habari wakuu
Mimi ni muhitimu wa shahada ya uhandisi mitambo yaan mechanical engineering
Natafuta kazi au nafasi ya kujitolea ili niweze kuendeleza taaluma yangu na kujiinua kiuchumi
kazi ninazo weza kuzifanya bila kusimamiwa ni
computer aided design (CAD)
engineering drawing kwa ustadi wa juu
machine maintenance
automobile maintenance
welding and fabrication
production plan and control
kwa sas nipo dar es salaam ila nipo tayali kufanya kazi katika mkoa wowote
natanguliza shukrani
pambana hio ndo njia pekee ya kutoboa fungu akaunti ajira portalnimejaribu kufungua mara kadhaa bila mafanikio kiongozi
Kaka mfanyie mpango Apo chuo kikuu.pambana hio ndo njia pekee ya kutoboa fungu akaunti ajira portal
kozi ngumu halafu ukimaliza, ukija kitaa ajira hamna.dadeki....
pambana hio ndo njia pekee ya kutoboa fungu akaunti ajira portal
Kaka mfanyie mpango Apo chuo kikuu.
Umemaliza chuo
Umemaliza chuo gan?
Omba intern NEMC au TBS
Habari wakuu
Mimi ni muhitimu wa shahada ya uhandisi mitambo yaan mechanical engineering
Natafuta kazi au nafasi ya kujitolea ili niweze kuendeleza taaluma yangu na kujiinua kiuchumi
kazi ninazo weza kuzifanya bila kusimamiwa ni
computer aided design (CAD)
engineering drawing kwa ustadi wa juu
machine maintenance
automobile maintenance
welding and fabrication
production plan and control
kwa sas nipo dar es salaam ila nipo tayali kufanya kazi katika mkoa wowote
natanguliza shukrani
tUWASILIANE KWA KAZI YA KUFUNDISHA LEVEL 1-3 KIDT VTC MOSHI 0717157640Habari wakuu