Mechanical engeneer vs telecommunication engineer

bab N

Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
75
Reaction score
35
Ushauri kati ya mechanical na telecommunication ipi kozi ambayo inalipa zaid ktk soko la ajira ,na je ipi ambayo upatikanaji wa ajira yke haisumbui ,ahsanten .
 
Ushauri kati ya mechanical na telecommunication ipi kozi ambayo inalipa zaid ktk soko la ajira ,na je ipi ambayo upatikanaji wa ajira yke haisumbui ,ahsanten .
unajua kuna tofauti kati ya engineer na engineering?
 
Najua mkuu,.....nakusudia engineering, if unajua wakilisha....
 
Najua mkuu,.....nakusudia engineering, if unajua wakilisha....
kila sehemu za ujenzi na vieandani mechanical anafit...ila mtu wa TELE anangojea ajira kutoka kwa voda... airtel na makampuni mengine ya mawasiliano!! mind you japo kazi zao si wide kama mtu wa mech ila mtu wa tele akipata mchongo wanapiga parefu sana...the same kwa watu wa comp engineering...

all in all usisome kwa kuchek soko la ajira tu.... cheki nini unapenda!! kwa msaada tu je unapenda mitambo... physical works... unapenda kuchafuka ukiwa kazin je wewe ni sharo??? au unapenda computer na technolojia??? ukijibu hayo maswali utajua wewe ni wa tele au wa mech engineering
 
Ahsante mkuu ,nimekusoma
 
Wadau ivi mtu mwenye diploma ya telecommunication anaweza kuomba degree ya mechanical engineering
 
Wadau ivi mtu mwenye diploma ya telecommunication anaweza kuomba degree ya mechanical engineering
Yeah utasoma miaka minne ila hio bachelor kwa vile umehama course ambayo ni nje ya department ya umeme
 
Yeah utasoma miaka minne ila hio bachelor kwa vile umehama course ambayo ni nje ya department ya umeme
inategemea na vyuo siyo vyuo vyote wanaruhusu kuhama course ila kwa dit ni sawa
 
telecom utapotea soko lake lilikuwa zaman siku hz waliosoma tele na sociology hawana tofauti,gonga mecha mkuu huwez lala njaa mjini hapa ni sawasawa na electrical hakuna sehem ambayo application yake haipo,so unapotaka kuchagua kozi ya kusoma usiangalie title yake ila angalia upatikanaji wake wa ajira na kujiajiri pia
 
Ushaur mzur kabsa huu,af mechanical rahis sana hadi darasa la saba wanafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…