Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,373
- 8,284
Kama una mke wakati wa msjamboz mchomekee kidole kikae huko hata dakika 5 haina madhara kwake ila ni dawa konki. Pia chukua matunda ya ndulele yatwange ama ublend changanya na kerosine kidogo drops kadhaaa, then ingiza kidole kike huko mda tu, fanya kila siku mara3 kwa mda wa wiki. Ingine kanunue iodine tinkcha kamua hadi uone damu then loweka kidole chakoSalaam wanajamvi, natumaini mko salama na kwa wale mliokatika mfungo, Mungu akawaongezee palipo pungua.
Wakuu mwenzenu yamenifika, kidole changu cha kati mkono wa kulia kimevimba hatari. Kinauma mno yaani hakukaliki, hakulaliki. Najihisi mnyonge, nimekosa tumaini.
Nimeweka mafuta ya taa, nimepaka Colgate, maji ya betri, vitunguu swaumu, maji ya moto, lakini wapi? Kuna watu wananiambia nisichokonoe wala nisiende hospitali.
Kama kuna aliewahi kuumwa na akapona, naomba msaada wake. Nimetingwa ndugu zangu. Nauona moto mpaka nmewaza isije kuwa kansa, nka-kate kidole.
K yoyoteSamahani mkuu,anatakiwa kuwa mkeo au janamke lolote
Ukiacha maumivu ya kubanwa korodani,haya yanafuatiaUngewahi kutumia amplicox wakat kinaanza Kabisa mama angu alikipata hakulala usikumzima tukamuwah na izo hakikuvimba Tena kikanywea
Tumia izo dawa Polesana nasikiaga maumivu yake ni balaa tumia amplicox
Ndiyo, bila kuweka chochote.Shukran,ila nimaji kama maji bila kuweka chochote
Acha kujiresi mzee. Angalia nilipo nukuuDah sasa koshabu zimeingiaje humu au nayo ni dawa
Kinapona chenyewe au kinaiva haraka(ili utumbue)Ndiyo, bila kuweka chochote.
Mwanzo niliambiwa nitumie kitunguu saumu nikatumia ila nikaona ndo nazidi kufanya kidole kiume zaidi.
Kwa hiyo nikaamua kuachana na hiyo kitu, nikawa napasha maji yanakuwa ya vuguvugu then nakiloweka humo kwa muda wa sekunde 3 au 4 then natoa nasikilizia maumivu then narudia tena.
Zoezi lilikiwa linadumu kwa dakika 4 au tano na sikumbuki nilikuwa nafanya mara ngapi kwa siku, ni mara nyingi.
Salaam wanajamvi, natumaini mko salama na kwa wale mliokatika mfungo, Mungu akawaongezee palipo pungua.
Wakuu mwenzenu yamenifika, kidole changu cha kati mkono wa kulia kimevimba hatari. Kinauma mno yaani hakukaliki, hakulaliki. Najihisi mnyonge, nimekosa tumaini.
Nimeweka mafuta ya taa, nimepaka Colgate, maji ya betri, vitunguu swaumu, maji ya moto, lakini wapi? Kuna watu wananiambia nisichokonoe wala nisiende hospitali.
Kama kuna aliewahi kuumwa na akapona, naomba msaada wake. Nimetingwa ndugu zangu. Nauona moto mpaka nmewaza isije kuwa kansa, nka-kate kidole.
Mimi miaka mingi iliyopita nilipata hio shida nikafanyiwa operation. Kimepona imebaki alama.Kama kuna aliewahi kuumwa na akapona, naomba msaada wake. Nimetingwa ndugu zangu. Nauona moto mpaka nmewaza isije kuwa kansa, nka-kate kidole.
Sawa mkuu,nafanya ivo saizKila kitu kina peak, sasa wewe amua ungoje maumivu mapaka mwisho au uende Hospital, unapoumwa sana, mtu atakeyakushauri usiende Hospital ana upungufua wa akili..... Usitusumbue, ungeenda Hospital wakashindwa ukarudi hapa, sawa...
Kinapona chenyewe japokuwa baadaye nilikitumbua ili kutoa yale majimaji ila nilifanya hivyo wakati kinakaribia kupona kabisa.Kinapona chenyewe au kinaiva haraka(ili utumbue)