Mdudu huyu anaitwaje??

hakuna mdudu ka huyo, sasa apo anatembeaje?

Ninayemjua mimi anaruka sio kutembea tu ila mwenyewe mweusi umbo ni hivyo hivyo kuna kabila moja Singida wanamwita nene (nnenne) na analiwa
 
Huyo ni mdudu chungu wa kawaida isipokuwa tumbole limejazwa na nectar...

Katika makoloni ya hao wadudu chungu basi huwepo hawa wahifadhi nectar pia...
 
Anaitwa honeypot ant
 
sijawahi kumuona sungu sungu na hicho kifurushi. Maajabu ya Muumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…