Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Mnanunua ndege kwa pesa taslimu halafu mnaenda kukopa dawa za binadam bohari kuu.Tukiwaambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika hivi baba wa familia unawezaje kununua bia kwa pesa taslimu halafu chakula cha familia unaenda kukopa hulipi madeni mpaka unasitishiwa huduma?