Mdude Nyagali: Mnanunua ndege kwa pesa taslimu halafu mnaenda kukopa dawa za binadam Bohari Kuu. Tukiwambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika

Bohari kuu ni serikali.
View attachment 959592
Kasome zaidi. Bohari kuu aka MSD sio NGO.
Tatizo hujui uendeshwaji wa MSD, Bohari kuu ipo chini ya serikali lakini wanunuzi wa madawa ni hospitali zilizo chini ya Wizara ya Afya na Halmashauri kupitia fedha za ruzuku zinazotolewa na serikali na sehemu ya fedha za pato la Halmashauri. Awamu hii serikali ya Jiwe imekomba mapato yote ya Halmashauri na pia imeshindwa kutoa fedha ambazo sehemu yake hununua madawa MSD. Hii ndicho alichoomaanisha mtoa mada hakuna cha bure pale MSD kinachofanyika sasa serikali inadhamini Hospitali za Wizara ya Afya na Halmashauri kukopa dawa baada ya kushindwa kuwapatia fedha za kununua madawa MSD na hata pia wao kushindwa kuagiza dawa toka nje kutokana kutolipwa kwa wakati na serikali. Leta upumbavu mwingine maana mnalipwa kwa kusema uwongo humu
 
wewe siku zote nakuambia kuwa wewe ni mwendawazimu unapost vitu bila kutumia akili mjinga wewe,elewa kuwa bohari kuu ni serikali na ndege pia ni serikali na serikali haijashindwa kabisa kulipa deni bohari mkuu
 
Hao wanaoandika ujinga nadhani wakikusoma watafyata mikia yao.Mijitu mizima ila miongomiongo HADI kero.
 
Bohari kuu ni serikali wewe, acha ujinga! Kwa hiyo serikali inajikopa?
Naona umeshashiba sasa unakunya kwenye sinia humo humo!
Kwa hiyo serikali inajikopesha? Wamekopa mifuko ya hifadhi ya jamii na sasa wamepunguza mafao ili kuiokoa so bohari kuu tutegemee kufa mda wowote
 
wewe siku zote nakuambia kuwa wewe ni mwendawazimu unapost vitu bila kutumia akili mjinga wewe,elewa kuwa bohari kuu ni serikali na ndege pia ni serikali na serikali haijashindwa kabisa kulipa deni bohari mkuu
Wewe ndo mpumbavu maana hujui serikali hailipi mikopo ya taasisi za serikali, mfano ni mikopo ya hifadhi za jamii.
Unategemea msd watajiendeshaje kama hawatalipwa.mfyuuuuuu
 
Kipindi anaenda nunua ndege kwa kesh hela zilikuwepo zakutosha
 
Halafu biashara yenyewe inaonekana hakuna faida vinginevyo mihela yote iliyotumika kununua ndege tungeshaoneshwa live mkutano wa kumkabidhi raisi hundi ya faida. Tusikilize na zile habari zake za watanzania tukiamua tunaweza.

Hakuna plan wala nini, wakiona hali inazidi kuwa ngumu solution ni kuhujumu mpinzani wa kibiashara na madhara yake kuiua sector iliyochanga kiushindani.

TTCL tu pamoja na monopoly ya landline bado wanashindwa kupata faida inayoeleweka kama washidani wao.

Wameingia kwenye soko la mobile; ebu angalia 'above and below' promotion mix za wenzao Voda, Tigo, Airltel and the likes wanawafuata asilimia kubwa ya wateja wao wenye kipato cha chini kwenye channel zile zile vijana wanapopenda kutembelea ukiingia Millard Ayo wamo, Global TV wapo, fiesta wamo, cleverly packaged sales za hizi sijui insta bure, brand awareness campaign wapo; you name it.

TTCL zero wao wanasubiri wakamuone Magu awape shirika lingine au sijui alazimishe taasisi zote za serikari zitumie huduma yao ndio njia pekee wanayojua ya kupata wateja, faida yao nikutokana na usimamizi tu wa mapato na automatic market share waliyonayo kutokana na nature of their products rather than clever marketing ploys.

Same thing kwenye ndege to date, waste of tax payers money.
Wamekuja na mikopo kwa wastaafu baada ya srikali kuwapujna wastaafu hao kiinua mgongo chao ili wakakope benki ya posta. Akili nyingine Only God knows ccm inakoipeleka nchi hii. Yaani wanatutengenezea mitego ya nyati kwa kuweka mashimo halafu na kutuelekezea njia ya kunasa.
 
Wewe ndo mpumbavu maana hujui serikali hailipi mikopo ya taasisi za serikali, mfano ni mikopo ya hifadhi za jamii.
Unategemea msd watajiendeshaje kama hawatalipwa.mfyuuuuuu
Watu kama hao unaachana nao, serikali wapi na wapi ikafanya biadhara, yenyewe inatakiwa kukusanya kodi. Mbona tena siku hizi hstusikii takwimu na kuambiwa matumizi. Walianza kwa gia halafu sijui sasa hivi gia zimenoki
 
Think tank ya CHADEMA imebaki matope tu!
Halafu ndio pekee waliobaki kusema ukweli ccm utasikia wakisema Mungu yupo Ikulu wakati kumbe ni rais. Eti yeye ndiye anzunguka nchi nzima kisa tu kuwaambia watu wamuombee asema watanzania mtashiba mwaka mzima
 
Wewe acha kupotoshaa, vituo vinaagiza sawa leo huku waagizaji wakiwa na stock ya mwezi wakiamini kuwa mwezi unaofuata dawa zitakuwa tayari zishafika lakini inachukua miezi 3 mpaka 4 ndio MSD wanaleta dawa kwa mfano umeagiza dawa Leo hapo kaa ukijua utaletewa mwezi wa tatu au wa nne mwakani hivi huoni hiyo inaathari kubwa wa wananchi?
Hivi unapoandika kuwa MSD ni ya serikali,una maanisha hiyo serikali huwa inachukua dawa bure?Acheni upumbavu wa kuwadanganya watu.
 
Watu kama hao unaachana nao, serikali wapi na wapi ikafanya biadhara, yenyewe inatakiwa kukusanya kodi. Mbona tena siku hizi hstusikii takwimu na kuambiwa matumizi. Walianza kwa gia halafu sijui sasa hivi gia zimenoki
Hali ni mbaya sana, nchi imemshinda jiwe ndo maana ukimya kuhusu kodi umetamalaki, ana hofu ya 2020 atapigwa chini, makosa ya ccm 2015 wakiyarudia tena twafaaa
 
wewe siku zote nakuambia kuwa wewe ni mwendawazimu unapost vitu bila kutumia akili mjinga wewe,elewa kuwa bohari kuu ni serikali na ndege pia ni serikali na serikali haijashindwa kabisa kulipa deni bohari mkuu

Ungekuwa unatumia hata chembe ya akili ungejua kuwa pesa zote za kununua ndege ni wizi mtupu ndo maana haziko ktk bajeti na tenda ya manunuzi yake ilifanyika ndani ya familia,kwa sababu we ni punguani huwezijua mambo ya mtu mjinga
 
Bohari kuu ni serikali wewe, acha ujinga! Kwa hiyo serikali inajikopa?
Naona umeshashiba sasa unakunya kwenye sinia humo humo!
Wew jamaa nilijinga usipotoshe watu kama ingewa ni serikali ingeidai serikali fuc...ng.
 
Back
Top Bottom