Ni kijana aliyepata umaarufu kwenye chama chake kutokana na kumtukana na kushambulia serikali ya Magufuli.
Kuna wakati alitoweka na alipopatikana alionekana kajeruhiwa sana.
Katika vijana wa chadema ambao waliamua kumtukana rais, huyu alijipambanua kwa uwazi kabisa na kuonyesha ujasiri wa juu kwani kuna wakati alimfananisha Magufuli na mgonjwa aliyepata gono kwa kuendekeza uasherati.
Kwa sasa hasikiki na hata ile akaunti yake naona haipo tena. Mwenye taarifa zake tujuzane tafadhali sababu mi ni mmoja wa mashabiki wake.

Aliuchokoza mzinga wa nyuki, akaondoka na manundu uso mzima, hatarudi tena kukatiza mtaa ule.Ni kijana aliyepata umaarufu kwenye chama chake kutokana na kumtukana na kushambulia serikali ya Magufuli.
Kuna wakati alitoweka na alipopatikana alionekana kajeruhiwa sana.
Katika vijana wa chadema ambao waliamua kumtukana rais, huyu alijipambanua kwa uwazi kabisa na kuonyesha ujasiri wa juu kwani kuna wakati alimfananisha Magufuli na mgonjwa aliyepata gono kwa kuendekeza uasherati.
Kwa sasa hasikiki na hata ile akaunti yake naona haipo tena. Mwenye taarifa zake tujuzane tafadhali sababu mi ni mmoja wa mashabiki wake.
Mkuu mbona ametoka kupost IG kama lisaa lililopita tu.Ni kijana aliyepata umaarufu kwenye chama chake kutokana na kumtukana na kushambulia serikali ya Magufuli.
Kuna wakati alitoweka na alipopatikana alionekana kajeruhiwa sana.
Katika vijana wa chadema ambao waliamua kumtukana rais, huyu alijipambanua kwa uwazi kabisa na kuonyesha ujasiri wa juu kwani kuna wakati alimfananisha Magufuli na mgonjwa aliyepata gono kwa kuendekeza uasherati.
Kwa sasa hasikiki na hata ile akaunti yake naona haipo tena. Mwenye taarifa zake tujuzane tafadhali sababu mi ni mmoja wa mashabiki wake.
Huu Mdude wa CDM kumbe bado upo!Mkuu mbona ametoka kupost IG kama lisaa lililopita tu. View attachment 1231564
Ni kijana aliyepata umaarufu kwenye chama chake kutokana na kumtukana na kushambulia serikali ya Magufuli.
Kuna wakati alitoweka na alipopatikana alionekana kajeruhiwa sana.
Katika vijana wa chadema ambao waliamua kumtukana rais, huyu alijipambanua kwa uwazi kabisa na kuonyesha ujasiri wa juu kwani kuna wakati alimfananisha Magufuli na mgonjwa aliyepata gono kwa kuendekeza uasherati.
Kwa sasa hasikiki na hata ile akaunti yake naona haipo tena. Mwenye taarifa zake tujuzane tafadhali sababu mi ni mmoja wa mashabiki wake.
Wee unafikiri hajipendi na alichokipata huko na alichofanyiwa..
Wee angalia wale wote ambao walishatekwa na wakaachiliwa kwa sasa wanaishije
Aliuchokoza mzinga wa nyuki, akaondoka na manundu uso mzima, hatarudi tena kukatiza mtaa ule.
Labda anatumia jina jingine baada ya ubatizo wa moto.Ni kijana aliyepata umaarufu kwenye chama chake kutokana na kumtukana na kushambulia serikali ya Magufuli.
Kuna wakati alitoweka na alipopatikana alionekana kajeruhiwa sana.
Katika vijana wa chadema ambao waliamua kumtukana rais, huyu alijipambanua kwa uwazi kabisa na kuonyesha ujasiri wa juu kwani kuna wakati alimfananisha Magufuli na mgonjwa aliyepata gono kwa kuendekeza uasherati.
Kwa sasa hasikiki na hata ile akaunti yake naona haipo tena. Mwenye taarifa zake tujuzane tafadhali sababu mi ni mmoja wa mashabiki wake.
Teh teh... Like mnaziondoa! Kweli mmejawa hofu.Mkuu mbona ametoka kupost IG kama lisaa lililopita tu. View attachment 1231564
Unata kusemaje? Kwamba wakitekwa na kuachiwa inakuwaje?Wee unafikiri hajipendi na alichokipata huko na alichofanyiwa..
Wee angalia wale wote ambao walishatekwa na wakaachiliwa kwa sasa wanaishije
Nasikia rinda zilifumuliwa cku hizi anashinda na pon pon.Ni kijana aliyepata umaarufu kwenye chama chake kutokana na kumtukana na kushambulia serikali ya Magufuli.
Kuna wakati alitoweka na alipopatikana alionekana kajeruhiwa sana.
Katika vijana wa chadema ambao waliamua kumtukana rais, huyu alijipambanua kwa uwazi kabisa na kuonyesha ujasiri wa juu kwani kuna wakati alimfananisha Magufuli na mgonjwa aliyepata gono kwa kuendekeza uasherati.
Kwa sasa hasikiki na hata ile akaunti yake naona haipo tena. Mwenye taarifa zake tujuzane tafadhali sababu mi ni mmoja wa mashabiki wake.
Sasa mkuu hapo kwenye like why umedelete nikitaka kukujua si naenda kwenye account ya mdude nakuona au umefuta kotekote
Huyo ndio sheiza kumbe! Mambo fulani erh?Hivi huko CCM kuna wenye akili kweli?View attachment 1231589