Da Womanizer JF-Expert Member Joined May 24, 2010 Posts 1,577 Reaction score 151 Oct 8, 2010 #1 Leo nimesikia huu msamiati ukitumika, ningependa kujua kama ni msamiati sahihi na kama matumizi yake kwa mukhtadha wa hapa chini ni sahihi. Wenyewe wanasema mdororo wa uchumi duniani. Mimi nilizoea kusikia kuzorota kwa uchumi duniani. Udzungwa.
Leo nimesikia huu msamiati ukitumika, ningependa kujua kama ni msamiati sahihi na kama matumizi yake kwa mukhtadha wa hapa chini ni sahihi. Wenyewe wanasema mdororo wa uchumi duniani. Mimi nilizoea kusikia kuzorota kwa uchumi duniani. Udzungwa.