Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
We are very serious mkuu usilete upuuzi wako hapo mkuuLipa madeni uchungu utapotea
😁😁DahLipa madeni uchungu utapotea
Kama yapikuna baadhi ya magonjwa yanasababisha hivyo
MeeWe ni me au ke?
Asante sana mkuuKuleni sana vitu vyenye u green [emoji520] kama matunda na mboga zenye u green Hali hiyo Huwa inaisha.
Hapana kiongoziSukari unatumia?
Tatizo ndo limeanzia hapo, tumia sukari kiwango kinachoruhusiwa kwa siku vijiko viwili vya tea spoon, Sasa ukiacha kutumia sukari unaharibu mpaka insulin yako hivyo tatizo kama Hilo linatokea kuonyesha una kiu ya sukari.Hapana kiongozi
Ña kama nina Kisukari mkuuuTatizo ndo limeanzia hapo, tumia sukari kiwango kinachoruhusiwa kwa siku vijiko viwili vya tea spoon, Sasa ukiacha kutumia sukari unaharibu mpaka insulin yako hivyo tatizo kama Hilo linatokea kuonyesha una kiu ya sukari.
Haya mkuuPole sana jaribu kupima malaria.
Huwa Kuna sukari zake special, sukari ni muhimu kwenye mwili.Ña kama nina Kisukari mkuuu
🤣🤣🤣Lipa madeni uchungu utapotea