Usipate shida:
1. Hapo kwenye sehemu ya kuandika msg utaona chini kuna vifungo vitatu, Post Quicky Reply, Go Advanced na Cancel. Tumia Go Advanced.
2. Ukifungua Go Advanced utaona link ya Attachment Management bofya hapo, utaona dirisha la ku-apload picha, hapo uta-browse sehemu uliyoweka picha yako mf. flash, CD, kompyuta yako nk. Then UPLOAD picha yako na kui-Submit Reply.
3. Hapo utakuwa umemaliza kazi. Karibu.