Hebu dadavua vizuri hii ndugu. Sijaielewa vizuriHivi Kenya wanatumia simple majority au 50% +1 vote kwa presidential election? Kama ni 50% + 1 patakuwa patamu sana...
Hivi Kenya wanatumia simple majority au 50% +1 vote kwa presidential election? Kama ni 50% + 1 patakuwa patamu sana...
Ikitokea yoyote asifikishe 50% + 1 vote inachukua muda gani hadi uchaguzi mwingine ufanyike tena, there's a good chance UK hatafikisha hiyo 50%, kitu kibaya hapa muda wote huu ambao utakuwa kilele cha uchaguzi, shughuli za uzalishaji zinazorota sana.Kuwa rais Kenya ni shughuli sio haba
- Lazima uwe na ushindi wa 50% + 1, bila hivyo tunarudia uchaguzi kwa namba moja na namba mbili
- Lazima pia upate asilimia 25% kwa nusu ya gatuzi zote 47, hivyo haiwezekani ukachaguliwa na watu wa eneo moja tu, lazima ukubalike na Wakenya wa maeneo mengi
Mkuu Msungu inv kama hujaelewa hii vizuri niambie, nitaidadavua zidi.
Ikitokea yoyote asifikishe 50% + 1 vote inachukua muda gani hadi uchaguzi mwingine ufanyike tena, there's a good chance UK hatafikisha hiyo 50%, kitu kibaya hapa muda wote huu ambao utakuwa kilele cha uchaguzi, shughuli za uzalishaji zinazorota sana.
Hivi kwa nini Kenya mlibadilisha mhula wa uchaguzi kutoka 5years hadi 4years ?
Ikitokea yoyote asifikishe 50% + 1 vote inachukua muda gani hadi uchaguzi mwingine ufanyike tena, there's a good chance UK hatafikisha hiyo 50%, kitu kibaya hapa muda wote huu ambao utakuwa kilele cha uchaguzi, shughuli za uzalishaji zinazorota sana.
Hivi kwa nini Kenya mlibadilisha mhula wa uchaguzi kutoka 5years hadi 4years ?
Jamaa wametumia vigezo ambavyo vimeawapiga chini wengine wote, sasa imebaki kati ya rais Uhuru na Raila Odinga. Hawa wawili wataanikwa mubashara kwenye vyombo vyote vya habari na wataulizwa kila aina ya maswali kutokea kwa wataalam wa nyanja mbali na wataachiwa fursa za kutoana rangi wao kwa wao na kujinadi pia.
Yaani hii tamu, nasubiri kwa hamu maana ndio fursa muafaka kwa taifa letu kuwahoji wanaotaka kuwa rais nchini.
-------------------------------------------------------------------------------------------------
A file photo of NASA flag bearer Raila Odinga and President Uhuru Kenyatta.
The Presidential debates for the August election are likely to be for just President Uhuru Kenyatta and NASA candidate Raila Odinga.
Those to be invited must command at least five per cent per cent popular support in opinion polls, according to guidelines released by organisers on Thursday.
Only Uhuru and Raila command this support. They are among eight presidential candidates who received clearance from the IEBC for the general election taking place on August 8.
Read: Uhuru, Raila and Dida among 8 presidential nominees on IEBC shortlist
The latest Ipsos poll, released on May 30, puts Uhuru at 49 per cent and Raila at 42 per cent.
A poll by Radio Africa Group's research department released on May 18 placed Uhuru at 49 per cent and Raila at 40 per cent.
According to both polls, none of the other candidates managed five per cent support.
"Candidates will less that five per cent popular support in opinion polls will take part in separate single pool debates to be conducted on the same dates," the organisers said in a statement.
A survey by African Electoral Observation Group found Uhuru would be re-elected with 51 per cent of votes if the general elections were held today.
"The August election is almost decided with 51.7 per cent voting for Uhuru and 39 per cent voting for Raila Odinga," reads the survey released 60 days to the 2017 general election.
More on this: Uhuru will win election by 51.7% votes against Raila's 39% - survey
The debate is organised by Debates Media, a consortium of several Kenyan media houses. It will stage two debates for presidential candidates and one for their running mates.
In the last general election, the debate had eight candidates.
Tough rules limit presidential debates to Uhuru, Raila only
duh acha fixi ww yahaya, demu wa kikenya umemtoa wapi na ki-english hukimanyi mswahili wwWakenya wengi tu hawajui English, Demu wangu ni Mkenya nimefika kwao huko wanaongea Kilugha tu na Kiswahili, hivyo hawawezi kuelewa huo Mdahalo, labda kama ni kwa ajili ya maelite!
Huyo dem hajawaii enda shule thenduh acha fixi ww yahaya, demu wa kikenya umemtoa wapi na ki-english hukimanyi mswahili ww
duh acha fixi ww yahaya, demu wa kikenya umemtoa wapi na ki-english hukimanyi mswahili ww
Soma vizuri nilichoandika, sijasema Demu wangu hajui English, bali kwao huko Kijijini ndiyo hawajui English, wanaongea Kilugha na Kiswahili tu!
Ulijuaje hawajui English kama hujawahi kanyaga Kenya wewe mitu ya Kolominje kwa kina Bashite.
Demu wangu ni Mkenya na nimefika kwao mara kwa mara, na huko hawaongei/ hawajui English isipokuwa Kilugha na Kiswahili!
Demu wangu ni Mkenya na nimefika kwao mara kwa mara, na huko hawaongei/ hawajui English isipokuwa Kilugha na Kiswahili!
Ulijuake? Uliwaongelesha English ukabaini hawajui? Na kama umaongea juu ya hawa wazee kijijini, hilo linaeleweka.
Hata hapo Tz niliwahi kuona documentary flani hawa wamama flani wazee kwenye kijiji flani karibu na Dodoma walikuwa wakihojiwa, na badala ya kujibu kwa kiswahili kama wale watu wengine, walikuwa wakitumia hiyo kilugha.
Sio watz wote wanajua Kiswahili.