Mdahalo wa wagombea urais wabaki kuwa kati ya Raila na Uhuru

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,848
2,000
Jamaa wametumia vigezo ambavyo vimeawapiga chini wengine wote, sasa imebaki kati ya rais Uhuru na Raila Odinga. Hawa wawili wataanikwa mubashara kwenye vyombo vyote vya habari na wataulizwa kila aina ya maswali kutokea kwa wataalam wa nyanja mbali na wataachiwa fursa za kutoana rangi wao kwa wao na kujinadi pia.

Yaani hii tamu, nasubiri kwa hamu maana ndio fursa muafaka kwa taifa letu kuwahoji wanaotaka kuwa rais nchini.

-------------------------------------------------------------------------------------------------

A file photo of NASA flag bearer Raila Odinga and President Uhuru Kenyatta.

The Presidential debates for the August election are likely to be for just President Uhuru Kenyatta and NASA candidate Raila Odinga.

Those to be invited must command at least five per cent per cent popular support in opinion polls, according to guidelines released by organisers on Thursday.

Only Uhuru and Raila command this support. They are among eight presidential candidates who received clearance from the IEBC for the general election taking place on August 8.

Read: Uhuru, Raila and Dida among 8 presidential nominees on IEBC shortlist

The latest Ipsos poll, released on May 30, puts Uhuru at 49 per cent and Raila at 42 per cent.

A poll by Radio Africa Group's research department released on May 18 placed Uhuru at 49 per cent and Raila at 40 per cent.

According to both polls, none of the other candidates managed five per cent support.

"Candidates will less that five per cent popular support in opinion polls will take part in separate single pool debates to be conducted on the same dates," the organisers said in a statement.

A survey by African Electoral Observation Group found Uhuru would be re-elected with 51 per cent of votes if the general elections were held today.

"The August election is almost decided with 51.7 per cent voting for Uhuru and 39 per cent voting for Raila Odinga," reads the survey released 60 days to the 2017 general election.

More on this: Uhuru will win election by 51.7% votes against Raila's 39% - survey

The debate is organised by Debates Media, a consortium of several Kenyan media houses. It will stage two debates for presidential candidates and one for their running mates.

In the last general election, the debate had eight candidates.
Tough rules limit presidential debates to Uhuru, Raila only
 
mtanzania1989

JF-Expert Member
May 20, 2010
2,966
2,000
Hivi Kenya wanatumia simple majority au 50% +1 vote kwa presidential election? Kama ni 50% + 1 patakuwa patamu sana...
 
Kuwa rais Kenya ni shughuli sio haba
- Lazima uwe na ushindi wa 50% + 1, bila hivyo tunarudia uchaguzi kwa namba moja na namba mbili
- Lazima pia upate asilimia 25% kwa nusu ya gatuzi zote 47, hivyo haiwezekani ukachaguliwa na watu wa eneo moja tu, lazima ukubalike na Wakenya wa maeneo mengi

Mkuu Msungu inv kama hujaelewa hii vizuri niambie, nitaidadavua zidi.
 
Ikitokea yoyote asifikishe 50% + 1 vote inachukua muda gani hadi uchaguzi mwingine ufanyike tena, there's a good chance UK hatafikisha hiyo 50%, kitu kibaya hapa muda wote huu ambao utakuwa kilele cha uchaguzi, shughuli za uzalishaji zinazorota sana.
Hivi kwa nini Kenya mlibadilisha mhula wa uchaguzi kutoka 5years hadi 4years ?
 
kilam

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
1,949

Bado ni miaka 5, hii miaka 4 ilikuwa kipindi cha mpito tu. Uchaguzi mkuu ujao utakuwa 2022.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,848
2,000
Ikitokea yoyote asifikishe 50% + 1 vote inachukua muda gani hadi uchaguzi mwingine ufanyike tena, there's a good chance UK hatafikisha hiyo 50%, kitu kibaya hapa muda wote huu ambao utakuwa kilele cha uchaguzi, shughuli za uzalishaji zinazorota sana.
Hivi kwa nini Kenya mlibadilisha mhula wa uchaguzi kutoka 5years hadi 4years ?
Kwanza kabisa hatujabadilisha miaka mitano na kuwa miine, kwa mujibu wa katiba mpya, uchaguzi Kenya unafanywa kila Jumanne ya pili ya mwezi Agosti baada ya kila miaka mitano
Ikitokea yeyote asishinde, basi inachukua siku 30 kurudia uchaguzi, ila atayeshinda kwa haya marudio, haijalish atakua na asilimia ngapi.
Cha msingi tunajaribu kuhakikisha rais anayechukua uongozi anakubalika, bora hata shughuli zizorote kwa mwezi mmoja lakini tuishi kwa miaka mitano na rais anayekubalika na mwenye upeo na uwezo mkubwa wa kuimarisha na kuendeleza umoja, amani na utulivu na mshikamo na anapendwa na Wakenya kutokea maeneo mengi ya taifa.
 
SADOCK NJIGINYA

Verified Member
Mar 26, 2013
1,168
2,000
Hii imekaa poa sana nawatakia kila la heri Kenya katika uchaguzi huu uwe uhuru na wa haki amani ikapate kutawala. Kwa mdahalo huo inaonesha kabisa demokrasia yenu imekomaa.
[HASHTAG]#255[/HASHTAG]
 
Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,373
2,000
Bila shaka itakuwa debate tamu..sana...Kenyatta ni gwiji wa kuzungumza Kiingereza kumliko Odinga ila hilo halina uzito wowote kwa mjadala huu kwani ukija kwa mjadala nadhani Odinga ana maswala mengi ambayo anaweza akatumia dhidi ya Kenyatta especially ktk maswala ya ufisadi, bei za bidhaa (cost of living) na migomo (madaktari, wauguzi n.k)
nikimalizia, jifurahisheni na picha hii ya Nairobi Britam Tower...nimepita Upperhill jana usiku na kuliona...maridadi mno...jengo la pili Afrika kwa urefu. 

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,264
2,000
Jamaa wametumia vigezo ambavyo vimeawapiga chini wengine wote, sasa imebaki kati ya rais Uhuru na Raila Odinga. Hawa wawili wataanikwa mubashara kwenye vyombo vyote vya habari na wataulizwa kila aina ya maswali kutokea kwa wataalam wa nyanja mbali na wataachiwa fursa za kutoana rangi wao kwa wao na kujinadi pia.

Yaani hii tamu, nasubiri kwa hamu maana ndio fursa muafaka kwa taifa letu kuwahoji wanaotaka kuwa rais nchini.

-------------------------------------------------------------------------------------------------

A file photo of NASA flag bearer Raila Odinga and President Uhuru Kenyatta.

The Presidential debates for the August election are likely to be for just President Uhuru Kenyatta and NASA candidate Raila Odinga.

Those to be invited must command at least five per cent per cent popular support in opinion polls, according to guidelines released by organisers on Thursday.

Only Uhuru and Raila command this support. They are among eight presidential candidates who received clearance from the IEBC for the general election taking place on August 8.

Read: Uhuru, Raila and Dida among 8 presidential nominees on IEBC shortlist

The latest Ipsos poll, released on May 30, puts Uhuru at 49 per cent and Raila at 42 per cent.

A poll by Radio Africa Group's research department released on May 18 placed Uhuru at 49 per cent and Raila at 40 per cent.

According to both polls, none of the other candidates managed five per cent support.

"Candidates will less that five per cent popular support in opinion polls will take part in separate single pool debates to be conducted on the same dates," the organisers said in a statement.

A survey by African Electoral Observation Group found Uhuru would be re-elected with 51 per cent of votes if the general elections were held today.

"The August election is almost decided with 51.7 per cent voting for Uhuru and 39 per cent voting for Raila Odinga," reads the survey released 60 days to the 2017 general election.

More on this: Uhuru will win election by 51.7% votes against Raila's 39% - survey

The debate is organised by Debates Media, a consortium of several Kenyan media houses. It will stage two debates for presidential candidates and one for their running mates.

In the last general election, the debate had eight candidates.
Tough rules limit presidential debates to Uhuru, Raila only

Wakenya wengi tu hawajui English, Demu wangu ni Mkenya nimefika kwao huko wanaongea Kilugha tu na Kiswahili, hivyo hawawezi kuelewa huo Mdahalo, labda kama ni kwa ajili ya maelite!
 
1academ

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
1,818
2,000
Wakenya wengi tu hawajui English, Demu wangu ni Mkenya nimefika kwao huko wanaongea Kilugha tu na Kiswahili, hivyo hawawezi kuelewa huo Mdahalo, labda kama ni kwa ajili ya maelite!
duh acha fixi ww yahaya, demu wa kikenya umemtoa wapi na ki-english hukimanyi mswahili ww
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,264
2,000
duh acha fixi ww yahaya, demu wa kikenya umemtoa wapi na ki-english hukimanyi mswahili ww

Soma vizuri nilichoandika, sijasema Demu wangu hajui English, bali kwao huko Kijijini ndiyo hawajui English, wanaongea Kilugha na Kiswahili tu!
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,848
2,000
Soma vizuri nilichoandika, sijasema Demu wangu hajui English, bali kwao huko Kijijini ndiyo hawajui English, wanaongea Kilugha na Kiswahili tu!
Ulijuaje hawajui English kama hujawahi kanyaga Kenya wewe mitu ya Kolominje kwa kina Bashite.
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,264
2,000
Ulijuaje hawajui English kama hujawahi kanyaga Kenya wewe mitu ya Kolominje kwa kina Bashite.

Demu wangu ni Mkenya na nimefika kwao mara kwa mara, na huko hawaongei/ hawajui English isipokuwa Kilugha na Kiswahili!
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,848
2,000
Demu wangu ni Mkenya na nimefika kwao mara kwa mara, na huko hawaongei/ hawajui English isipokuwa Kilugha na Kiswahili!
Jinsi huwa unaongea kuhusu Kenya huwa unadhihirisha hujafika Kenya na hupajui au hata hujawahi kutoka nje ya Kolominje.
 
Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,117
2,000
Demu wangu ni Mkenya na nimefika kwao mara kwa mara, na huko hawaongei/ hawajui English isipokuwa Kilugha na Kiswahili!
Ulijuake? Uliwaongelesha English ukabaini hawajui? Na kama umaongea juu ya hawa wazee kijijini, hilo linaeleweka.

Hata hapo Tz niliwahi kuona documentary flani hawa wamama flani wazee kwenye kijiji flani karibu na Dodoma walikuwa wakihojiwa, na badala ya kujibu kwa kiswahili kama wale watu wengine, walikuwa wakitumia hiyo kilugha.

Sio watz wote wanajua Kiswahili.
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,264
2,000
Ulijuake? Uliwaongelesha English ukabaini hawajui? Na kama umaongea juu ya hawa wazee kijijini, hilo linaeleweka.

Hata hapo Tz niliwahi kuona documentary flani hawa wamama flani wazee kwenye kijiji flani karibu na Dodoma walikuwa wakihojiwa, na badala ya kujibu kwa kiswahili kama wale watu wengine, walikuwa wakitumia hiyo kilugha.

Sio watz wote wanajua Kiswahili.

Zaidi ya 95% ya Watanzania wanajua/kuelewa Kiswahili, kuna baadhi ya watu ambao siyo Wabantu kama Wamasai, Wahadzabe na wengieno ndiyo wana shida na Kiswahili lkn kwa kawaida Tanzania hakuna hilo tatizo, kumbuka Tanzania kulikuwa na kitu kinaitwa Elimu ya watu wazima ambapo wale ambao hawakubahatika kwenda Shuleni hupata nafasi ya kufundishwa kusoma na kuandika na hii hufanyika kwa Lugha ya Kiswahili, pia Lugha ya Injili kwa Dini zote Kikristo na Kiisloamu ni Kiswahili, hivyo kwa Wakristo yoyote yule ambaye anakwenda Kanisani ni lazima ajue Kiswahili kwa maana hata Mafundisho ya Komunio/Kipaimara na hata Ndoa hufanwa kwa lugha ya Kiswahili hivyo mtu ambaye amezaliwa na kukulia Tanzania halafu asijue Kiswahili ni lazima atakuwa anaishi maisha isolated sana kama Wamasai, ila Kenya wasiojua English wanazidi 40% sasa hii namba kubwa sana ku-ignore, hivyo kwangu mimi huwo Mdahalo ni kupoteza muda tu kwa maana wale wapiga kura hasa hawataelewa kinachojadiliwa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom