Mr sule JF-Expert Member Joined Oct 14, 2021 Posts 606 Reaction score 1,115 Dec 17, 2023 #1 Wana jf naomba maoni yenu kutoka kwa watu hawa wawili. Kuna mdahalo unaendelea huko mtandaoni na unahusu uislam na ukristo. Una maoni gani kuhusu mdahalo huo. View: https://youtu.be/Qd_CdMt-_9A?si=Sk8ftjjfdbrJKqRq
Wana jf naomba maoni yenu kutoka kwa watu hawa wawili. Kuna mdahalo unaendelea huko mtandaoni na unahusu uislam na ukristo. Una maoni gani kuhusu mdahalo huo. View: https://youtu.be/Qd_CdMt-_9A?si=Sk8ftjjfdbrJKqRq
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,503 Reaction score 46,603 Dec 17, 2023 #2 Siwezi kupoteza bando langu Kwa ishu za dini
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,902 Dec 17, 2023 #3 Kila la kheri kwao. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,357 Reaction score 111,587 Dec 17, 2023 #4 Upuuzi mtupu, dini ni miradi ya wazungu na Waarabu. Uchumi wa Mecca unategemea mahujaji.
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 9,233 Reaction score 13,548 Dec 17, 2023 #5 Mijadala ni mizuri lakini mara nyingi inachochea chuki za kidini!
let the caged bird sings JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 4,179 Reaction score 9,750 Dec 17, 2023 #6 Hii ligi imerudi tena!!.
Mr sule JF-Expert Member Joined Oct 14, 2021 Posts 606 Reaction score 1,115 Dec 17, 2023 Thread starter #7 Dr Matola PhD said: Upuuzi mtupu, dini ni miradi ya wazungu na Waarabu. Uchumi wa Mecca unategemea mahujaji. Click to expand... Siku ukiachaa kutumia simu, laptop TV na Kwenda shule. na mimi nitaona Dini ni upuuzi.
Dr Matola PhD said: Upuuzi mtupu, dini ni miradi ya wazungu na Waarabu. Uchumi wa Mecca unategemea mahujaji. Click to expand... Siku ukiachaa kutumia simu, laptop TV na Kwenda shule. na mimi nitaona Dini ni upuuzi.
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,645 Reaction score 10,867 Dec 17, 2023 #8 Mr sule said: Siku ukiachaa kutumia simu, laptop TV na Kwenda shule. na mimi nitaona Dini ni upuuzi. Click to expand... Kwamba simu, laptop na TV nayo ni miradi ya Wazungu kwa ajili ya Wazungu?🤣
Mr sule said: Siku ukiachaa kutumia simu, laptop TV na Kwenda shule. na mimi nitaona Dini ni upuuzi. Click to expand... Kwamba simu, laptop na TV nayo ni miradi ya Wazungu kwa ajili ya Wazungu?🤣
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,357 Reaction score 111,587 Dec 17, 2023 #9 Mr sule said: Siku ukiachaa kutumia simu, laptop TV na Kwenda shule. na mimi nitaona Dini ni upuuzi. Click to expand... Dini ni upuuzi mtupu.
Mr sule said: Siku ukiachaa kutumia simu, laptop TV na Kwenda shule. na mimi nitaona Dini ni upuuzi. Click to expand... Dini ni upuuzi mtupu.
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 17,594 Reaction score 56,698 Dec 17, 2023 #10 Dini ni upuuzi mwngn ambao tumeamua kuuheshimu