.Mbona Zanzibar wawili,Tanganyika mmoja ,hawa waandaaji vipi bwana
<br />Zanzibar ina watu wachache kuliko mkoa mmoja wa Katavi inawakilishwa na watu wawili wakati Tanganyika inawakilishwa na watu wawili!! Au wameona Tundu Lissu anawatosha? Nasikia Prof. Chris Peter Maina naye atakuwepo kutoa changamoto za kisomi!! Sasa umeme uwepo ili wa mbali nasi tuambulie siyo nyinyi wa Dar. Manake uhakika wa kuufaidi mdahalo ni kwenda pale unapofanyika vinginevyo utakuwa na hamu ya kushuhudia kupitia Luninga mara Mr. Megawat anachukua megawat zake!!
<br />Mbona Zanzibar wawili,Tanganyika mmoja ,hawa waandaaji vipi bwana
Haya wana jamvi, tarehe 11 Septemba 2011 tena kuna mdahalo wa Muungano wetu na Tanzania Tunayoitaka. Hii ni jumapili tarehe 11 September kuanzia saa 11:00 mpaka saa moja usiku.
Wanaotaka kadi za kuhudhuria mdahalo huu wapige simu namba 0718 607403 (kwa wakazi wa Dar es Salaam) wazungumzaji wakuu wa mdahalo huu ni Mh Tundu Lissu, Juma Duni, Haji Waziri wa Afya Zanzibar na Mohammed Chomboh Mbunge wa Magomeni Zanzibar.
Mdahalo wa Muungano 11 Sept - - YouTube
Source: Star Tv
Mh.Tundu Lissu namwaminia....and i can guess through him mdaharo utakabiliwa na changamoto za hoja mzito.Haya wana jamvi, tarehe 11 Septemba 2011 tena kuna mdahalo wa Muungano wetu na Tanzania Tunayoitaka. Hii ni jumapili tarehe 11 September kuanzia saa 11:00 mpaka saa moja usiku.
Wanaotaka kadi za kuhudhuria mdahalo huu wapige simu namba 0718 607403 (kwa wakazi wa Dar es Salaam) wazungumzaji wakuu wa mdahalo huu ni Mh Tundu Lissu, Juma Duni, Haji Waziri wa Afya Zanzibar na Mohammed Chomboh Mbunge wa Magomeni Zanzibar.
Mdahalo wa Muungano 11 Sept - - YouTube
Source: Star Tv
Mh.Tundu Lissu namwaminia....and i can guess through him mdaharo utakabiliwa na changamoto za hoja mzito.
Wameogopa kuwaweka jamaa wengi wasishtukie wamebezwa,jua kula na vipofu bwanaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!Hapo hapatatosha kabisa...............maana kichwa kimoja Tundu Lissu katika sheria ni vichwa 10,000 vya akina Werema na Kombani.......