Mdada zingatia hapa jitahidi usome mpaka mwisho

Huku kurunda wanaume na kuwashi danisha ni sioni logic Mimi huwa nikipenda natongoza Mara moja Mara ya pili ndo mwisho

Ukijirudi baadaye ukaanza kunitafuta ufahamu wangu ulisha kuchoka Mimi ni kidume sibembelezi
 
aaaaa ila pia mimi nashukuru malezi hayo yametufanya tujue mengi halafu sijui ndo nimeharibika kifikra taking care of my hubby(hapa nakumbuka nliambiwa kama mtoto ) huwa nahisi raha na kujituma si kwa nchi huko ila wanaume wenyewe mabolizozo ukijitoa sana kwake anakuona king'ang"anizi lazima akutende
Sawa basi.
Ila mwanamke wa kiafrica jamani anateseka sana kifikra.Ndiyo maana wamepata elimu na vyanzo vya mapato wengi hawataki mateso.
 
Huku kurunda wanaume na kuwashi danisha ni sioni logic Mimi huwa nikipenda natongoza Mara moja Mara ya pili ndo mwisho

Ukijirudi baadaye ukaanza kunitafuta ufahamu wangu ulisha kuchoka Mimi ni kidume sibembelezi
sawa ndo maana nasema mapenzi hayana formula na hapo si sheria ujue ila kuna mahali itakuwa imesaidia mie ilinsaidia pale KUWA NA MWANAUME ANAYEKUPENDA WEWE ZAIDI,yule unayempenda sana kuliko yeye achana nae
 
Huyu unayempenda lzm atakuwa mchepuko tu piga uaaaaa
 
Taking care of Your Husband ni kitu sahihi na Mungu arakubariki!

Mateso nayozungumzia hapa ni vipondo,manyanyaso,umalaya ulokithiri na ukatili dhidi ya wanawake.

Yani ndo imekaa kama maonyesho tu,mtu anavumilia tu kwa ajili ya jamii.
 
watoto dia,hasa ukiwa na mtoto wa kike ukimlelea peke yako inaletaga shida yeye kuolewa mbeleni
 
watoto dia,hasa ukiwa na mtoto wa kike ukimlelea peke yako inaletaga shida yeye kuolewa mbeleni
Kuishi mara moja tu!
Kuteseka kwa ajili ya mtoto ambaye anazidi kuathirika kisaikolojia !
Not healthy.
 
Ujumbe mzuri kwa wadada na 60% nakubaliana na wewe, umenukuu vitabu vitakatifu na kusisitiza ucha Mungu, nakushukuru sana. Na naongeza hili pia, sisi wanaume pia tunataka wanawake wacha Mungu. Kitu natamani usinge andika hapo ni swala la Kabila lipi aolewe au LA! Pengine upo sahihi kwa makabila mengine, ila mfano wako hauna uhalisia.

Mf. Ma- Uncle zangu ni wahaya, 70% kati yao wameoa wanawake wasio wa kabila lao, ama nikifikiri kununua wazo lako nitamrejea babu yangu mzaa mama( Mhaya), sababu alioa mwanamke wa kabila lake.

Jambo jingine Swala la kutubebea bango wanaume warefu wenye muoneka mzuri si sahihi sana, Kanuni pekee ni mwanamke kujiheshimu/kujitambua na ucha Mungu tu. Wanaume wachache sana (wasio jielewa hawa) wanaweza kumuacha mwanamke alokataa tendo la ndoa mpaka aingie ktk ndoa kwa ukuta wa dhati moyoni mwake (MAADILI ama DINI) ingawa tunajaribu sana kuonesha hatuwezi kuwa na mahusiano W.O sex.
 
Last edited:
aaaaa ahsante hakika umenena
 
Umeongea point.Hapo kwenye no.3.Nimeshuhudia wapenzi wengi walioanza Kwa kupendana Sanaa hawakudumu.Binafsi sikuwai kuwa serious kipindi naanza mahusiano(sikua nimempenda kivile)Ila yeye sasa alikufa na kuoza,namshukuru Kwa namna alivokua ananijali nlishindwa kuchomoka,ndo mume sasa.Katika yote mwanaume awe na hofu ya Mungu .
 
Ahsante kwa ushauri mzuri na mtu ukiusoma kwa makini kuna kitu cha kujifunza hapa....!
 
Hata sisi wanaume tuna principle yetu moja kwamba , nikumfanya mwanamke akupende ww first kwa namna yyte ila aanze yy kuku penda first
 
Hizo tamaduni za kihaya umezitoa wapi mi naishi bk ila tamaduni hiyo haipo .shida ni kuogopa wahaya na tamaduni zao .hakuna tamaduni ya namna hiyo uhayani
 
Ninakubaliana na wewe. Kama mwanaume ni rijali, na kiuchumi yuko vizuri, kama hana hofu ya Mungu kuzini ni nje nje.
 
nimerekebisha nimekuacknowledge,check inbox pia
Halafu sijui ulifunga pyem, maanake jana nimekufata inbox holaaa, ndo nikaamua tu kuandika huku sebuleni
 
Huku kurunda wanaume na kuwashi danisha ni sioni logic Mimi huwa nikipenda natongoza Mara moja Mara ya pili ndo mwisho

Ukijirudi baadaye ukaanza kunitafuta ufahamu wangu ulisha kuchoka Mimi ni kidume sibembelezi
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mkuu kwamba ukipita umepita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…