mimi pia mwanamke baba swalehe amini nakuambia wanawake wazuri wa kuoa wa zama za mawe za kati wapo na wanaume wa kutuoa pia wapo...ni kutuliza akili tuKawaambie hao wataalamu wa mahusiano " warudie tafit .. Hao wanawake walikua zama za mawe za kati ... Hizi ni zama za chuma ...
Watu wa zamani waliweza kuvumilia hata kama wakiteswa,wakichitiwa n.k kwa sababu ya watoto na pia hawakuwa na vyanzo wala ardhi ya kujikimu.Kawaambie hao wataalamu wa mahusiano " warudie tafit .. Hao wanawake walikua zama za mawe za kati ... Hizi ni zama za chuma ...
hata sasa hivi ni aibu kuachika dia sema basi tuWatu wa zamani waliweza kuvumilia hata kama wakiteswa,wakichitiwa n.k kwa sababu ya watoto na pia hawakuwa na vyanzo wala ardhi ya kujikimu.
Pia mfumo dume uliwalemea sana wanawake.Ilikuwa ni aibu kuachika.
Duuh haya bwana, mwenzio nilishapotez network, yaan kweli internet never forget!!hapana mito ulimtumia amu pia nimeitoa inbox ndo maana nikakusalimia nakumbuka uliniambia hutaki mtu ajue wewe umeandika hii article hasa mafisi walioko mawindoni humu...
I once loved ... But now i just see empty orbitals in many woman too much chumv... Too much alcohol ... Acting life like a jamulilah comedians ... I just look at them and say muhlah it will reach 30 ... And still you will be existing as a lone pair ...mimi pia mwanamke baba swalehe amini nakuambia wanawake wazuri wa kuoa wa zama za mawe za kati wapo na wanaume wa kutuoa pia wapo...ni kutuliza akili tu
Ni aibu kwa wote kuachana.hata sasa hivi ni aibu kuachika dia sema basi tu
nimerekebisha nimekuacknowledge,check inbox piaDuuh haya bwana, mwenzio nilishapotez network, yaan kweli internet never forget!!
BTW hao wasioamini acha tu waendeze mioyo yao inapenda nini, vijana waendelee kujilia taratibuu, akikumbuka shuka kumekuchaaa
Tunataman tuwabebe wanawake lakin hata ukiwabeba wanakunyea .. Ni wachache sana wastaarabuWatu wa zamani waliweza kuvumilia hata kama wakiteswa,wakichitiwa n.k kwa sababu ya watoto na pia hawakuwa na vyanzo wala ardhi ya kujikimu.
Pia mfumo dume uliwalemea sana wanawake.Ilikuwa ni aibu kuachika.
Ni aibu kwa wote kuachana.
Na Mungu anachukia kuachana.
Si aibu ya mwanamke pekee.Inapaswa itazamwe hivi.
pole baba swaleh utapata tu mtu,time is the best healer naamini utapata right partnerI once loved ... But now i just see empty orbitals in many woman too much chumv... Too much alcohol ... Acting life like a jamulilah comedians ... I just look at them and say muhlah it will reach 30 ... And still you will be existing as a lone pair ...
Sidhani kama upo sahihi.Tunataman tuwabebe wanawake lakin hata ukiwabeba wanakunyea .. Ni wachache sana wastaarabu
Wapo ulaya unaowasemea mkuu sio wote lakinSidhani kama upo sahihi.
Mwanamke ni kiumbe mvumilivu sana sana.
Sema akichoka anakunyea sana.
Jamii ya Kiafrica nafasi ya mwanamke katika jamii inakaribiana na mifugo ya familia.
Ni kweli kabisa.Tuko pamoja amore ujue jamii ya kitanzania mkiachana inaonekana aibu kubwa kwa mwanamke,yaani maisha yetu yote tunaandaliwa kwa ajili ya kuhudumia wanaume na familia imagine hata tendo lenyewe ukiwasikiliza wengi wazee wanasema umridhishe mwanaume na si kuridhishana
Sawa basi.Wapo ulaya unaowasemea mkuu sio wote lakin
... Wanawake wa jf wastaatabu sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asubuh njema mkuuSawa basi.
Ila mwanamke wa kiafrica jamani anateseka sana kifikra.Ndiyo maana wamepata elimu na vyanzo vya mapato wengi hawataki mateso.
Na wewe pia.Asubuh njema mkuu
kweli kabisa kuna makabila hawaoi mjane au kuna familia wakisikia ndugu yao anamahusiano na mjane chokochoko zinaanza.Ni kweli kabisa.
Wataenjoy wanawake watakaozaliwa miaka 500 hivi ijayo.
Wanawake wanakuwa treated kama lesser human beings in Africa.
Kama wajakazi.
Ndiyo maana wakiachika wanaonekana rejects.Kuna makabila yanadharau hata waliofiwa na waume zao
Makabila mengine hawaruhusu kabisa kijana kuoa mjane au ikitokea kijana kaanzisha mahusiano na mjane familia inaleta chokochoko,Mungu atuongoze wanawake majaribu yetu ni makali sana.Ni kweli kabisa.
Wataenjoy wanawake watakaozaliwa miaka 500 hivi ijayo.
Wanawake wanakuwa treated kama lesser human beings in Africa.
Kama wajakazi.
Ndiyo maana wakiachika wanaonekana rejects.Kuna makabila yanadharau hata waliofiwa na waume zao