Mdada wa stationery anahitajika haraka mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 3/6/2015
Sifa za mwombaji:
Umri miaka 18-25
Awe anaweza kuongea kiingereza
Anayejituma sio mzembe
Stationery iko Sinza, wa Sinza atapewa kipaumbele
Muda kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 1 usiku hadi Jumamosi
Mshahara maelewano
Anayependa kazi hizi bila anakaribishwa
Tuma maombi pamoja na passport size picha kwenda polytechstationery@yahoo.com