Msichana wa kazi ya stationery anahitajika Dar Kinondoni awe na sifa zifuatazo;
1. Elimu ya kidato cha nne na kuendelea
2. Kuongea na kuandika Kiswahili na kiingereza kwa ufasaha
3. Ujuzi wa computer;Adobe photoshop, Microsoft word, excel, publisher na powerpoint
4. Ajue kutumia photocopy, scanner, printer, lamination, binding machines, kupiga picha za passport size, kuburn CD na DVD, n.k
5. Awe anaishi maeneo ya sinza au maeneo ya jirani
6. Awe tayari kufanya Kazi kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa moja usiku
7. Umri kati ya miaka 17 mpaka 25
8. Awe mwaminifu, tabia nzuri na kauli nzuri kwa wateja.
Biashara ipo maeneo ya sinza awe mvumilivu na tufanye kazi kwa uaminifu bila kufatiliana na mshahara ni maelewano na ndio maana katika vigezo ni kuwa awe anaishi maeneo ya sinza au karibu ili kuepusha gharama za usafiri na muda.
Mwenye kumjua anaetafuta au anaetaka kazi anipm namba zake au atume kwenda sinzastationery@yahoo.com
Shukrani.