Morrice shemu New Member Joined Jan 8, 2017 Posts 2 Reaction score 1 Jan 28, 2017 #1 Habari zenu, naitwa adam nipo dodoma mjini maeneo ya nkuhungu natafuta msichana/mdada wa saloon anaejua kusuka, kuset na kuchana mitindo ya aina yote ( mtaalam ) mshahala ni 80000 chakula juu yangu. Namba yangu ni 0718921255
Habari zenu, naitwa adam nipo dodoma mjini maeneo ya nkuhungu natafuta msichana/mdada wa saloon anaejua kusuka, kuset na kuchana mitindo ya aina yote ( mtaalam ) mshahala ni 80000 chakula juu yangu. Namba yangu ni 0718921255
L Livejr JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 2,073 Reaction score 2,812 Jan 28, 2017 #2 emmy Rugeiyamu Kama bado bado haujapata kazi ya saloon njoo huku
emmy Rugeiyamu Member Joined Jan 22, 2017 Posts 27 Reaction score 4 Jan 28, 2017 #3 Ahsante sana ndg livejr