Mdada wa saluni anahitajika

Mdada wa saluni anahitajika

Swoldiha

Member
Joined
Sep 7, 2018
Posts
53
Reaction score
20
Natafuta mdada mwenye utaalam na masuala ya saluni, kuanzia kusuka, kuweka dawa na michano mbalimbali, kushonea weaving, kupamba maharusi nk. Awe mkazi was mbezi au kimara
 
Natafuta mdada mwenye utaalam na masuala ya saluni, kuanzia kusuka, kuweka dawa na michano mbalimbali, kushonea weaving, kupamba maharusi nk. Awe mkazi was mbezi au kimara
Hiyo saluni iko wapi?? Nina mdogowangu Ila yy anakaa bigbrother
 
Nina ndugu ni fundi balaa. Unalipaje?
 
Ninahitaji wa kupanda gari moja, IPO mbezi kwa msuguri ukiwa kwa msuguri unachukua kibajaji nauli 500, so ndio maana nahitaji was maeneo ya kimara au mbezi. Ambaye yuko tayari tuwasiliane 0755 076393
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom